Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPENZI SIYO HISIA, NI UHALISIA!

KUNA watu wanaweza kupatwa na mshangao kwa kichwa cha habari hapo juu. Watajikuta wakishangaa kwa sababu siku zote wamekuwa wakielewa kuwa mapenzi ni hisia, kwa sababu yanamwendesha mtu vile anahisi. Leo nataka kuwahakikishia kuwa kamwe, jambo hili siyo hisia, bali ni uhalisia! Inaweza kuwa vigumu kuelewa mara moja maana yangu, lakini kuna mifano rahisi na mifupi ninaweza kukupa ili uelewe maana yangu. Kunywa maji wakati ukiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mambo yanayochangia kupoteza hisia za mapenzi

Lipo jambo muhimu analopaswa kuzingatia kila aiye kwenye uhusiano ikiwa anataka kutosheka na penzi la mpenzi wake.

 

11 years ago

GPL

HISIA NA MSISIMKO UNAVYO-POTEA KATIKA MAPENZI!

WAKATI fulani unatakiwa kujihakikishia kuwa, mke au mume uliyenaye anakuwa wako wa maisha yako yote. Kuapa tu mbele ya viongozi wa dini, kuwa atakuwa wako, haitoshi! Kuna mengi zaidi ya kufanya. Kazi ya viongozi wa dini, mila au serikali ni kuwaunganisha tu. Kazi yao humalizikia hapo, sasa suala la furaha ya ndoa ni kazi yenu wenyewe kama wanandoa mkiwa ndani. Ndugu zangu, hivi umeshawahi kujiuliza; kwa nini mwanandoa anatoka...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hizi ndizo hisia tata za mapenzi ya kweli

KATIKA suala la uhusiano wa kimapenzi, hapana shaka mpenzi mwenye kumpenda mpendwa wake kwa dhati hisia zake za kimapenzi huwa tofauti sana na yule mwenye mapenzi ya ulaghai.

Mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hisia zake hugusa kutoka ndani ya moyo wake, ambapo wakati mwingine si rahisi hata pale mmoja anapojaribu kumshauri au kumshawishi kuhusu jambo fulani baya juu ya ampendaye akaweza kuelewa.

Mpenzi wa namna hii huwa kama mjinga ambaye ukimtishia nyau au bastola ya watoto atoe pesa...

 

9 years ago

GPL

MERCY JOHNSON: SIPATI HISIA ZOZOTE NINAPOIGIZA SEHEMU ZA MAPENZI

Mcheza sinema maarufu wa kike wa Nigeria, Mercy Johnson. Mcheza sinema maarufu wa kike wa Nigeria, Mercy Johnson, amesema huwa hasikii na haruhusu hisia au mhemko wowote kumpata wakati anaigiza sehemu zinazohusu mapenzi. Mwigizaji huyo alielezea hilo majuzi akijibu swali aliloulizwa iwapo huwa anapata athari yoyote kuhusu sehemu hizo za uigizaji ambapo alisema: “Wakati kuna haja ya kuigiza sehemu ya mapenzi, huwa ninafunga...

 

10 years ago

Mwananchi

Valentine ya sasa, siyo upendo, ni mapenzi?

Leo ni siku ambayo Watanzania wataungana na watu wote duniani kuadhimisha Siku ya Wapendanao, kwa upande mwingine siku hii ikiangaliwa tofauti na Watanzania walio wengi hasa vijana.

 

9 years ago

Mwananchi

Mapenzi siyo kitu muhimu kwangu, hapa kazi tu

Anajiita Angelina Jolie wa Bongo na hata ukimtazama unaweza kukubaliana naye. Mbali ya kutojiremba kupitiliza, bado anafanana na mwigizaji huyo wa Marekani kwa mbali.

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

10 years ago

Mwananchi

Waigizaji vaeni uhalisia

Ni wazi kuwa kila moja wetu anatamani kuburudika bila kujali ni aina gani ya burudani anayotaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani