Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago
Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Waafrika tumeumbwa kuzaana, wala siyo kuuana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7X1wIOHFtrxxFpT4bjrTlnO23H8BY2Q5kfppaOSLvHGuThV8b9hesxpcRNDt14rsi6U39FiGqOJ7DXIWM*viVayr6hhzezhc/p.txt.jpg?width=650)
JIDE MIMI SIYO YESU WALA BIKIRA MARIA!
9 years ago
Mwananchi01 Oct
MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama
10 years ago
Mwananchi03 May
SAFU: Urasta mwafrika mwenzangu siyo bangi, uchafu, uhuni wala ujambazi
10 years ago
VijimamboHOSPITALI YA MISHENI YA SENGEREMA LAWAMANI KWA KUMUWEKEA MTOTO DAMU SIYO GROUP LAKE NA KUMSABABISHIA ULEMAVU WA KUPOOZA
Hospitali ya Misheni Wilayani Sengerema mkoani Mwanza imepata lawama kutokana na kitendo chake cha kumuongezea damu ambayo siyo kundi lake mtoto aliyeafahamika kwa jina la Salome Pastory mwenye umri wa miaka mine.Taarifa hizo zimegundulika kufuatia baba wa mtoto huyo Edward Pastory kufika katika ofisi za Kijukuu Blog zilizopo Mjini Kahama kwa lengo la kuomba...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
WILFRED WILBARD: Ulemavu si mkosi wala laana
“WATOTO wenye ulemavu tunakabiliwa na changamoto nyingi katika maisha yetu ikiwemo kubaguliwa, kunyanyapaliwa na kuonekana kama mzigo mkubwa kwa jamii hata kwa baadhi ya wazazi wetu” “Ulemavu sio laana wala...
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Uongozi siyo njozi
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Coastal siyo shwari