Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waafrika tumeumbwa kuzaana, wala siyo kuuana

Kinachotokea huko Sudan Kusini, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kina mwelekeo wa kutusogelea sisi watu wa Afrika Mashariki zaidi ya tunavyofikiria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

10 years ago

GPL

JIDE MIMI SIYO YESU WALA BIKIRA MARIA!

Supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee akipozi. Kutoka moyoni! Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na prizenta maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’, supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi...

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli

Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.

 

10 years ago

Mwananchi

Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama

“Pale haki inaponyimwa, pale umaskini unapoimarishwa, siyo watu, wala mali watakuwa salama”

 

10 years ago

Mwananchi

SAFU: Urasta mwafrika mwenzangu siyo bangi, uchafu, uhuni wala ujambazi

Ethiopia imeelea ndani ya habari za kimataifa  wiki hizi mbili.

 

10 years ago

Bongo Movies

Keisha: Acha Kujidharau Tumeumbwa Kuwa Washindi

Staa wa bongo fleva ambaye ameshawahi kucheza filamu kadhaa za hapa Bongo, kwa sasa ameanza kujikita katika siasa za nchi Keisha amefunguka na kuwahamasisha vijana kujitambua pamoja na kuwataka kufanya maamuzi ambayo yanaweza kuwa na tija katika maisha yao kwa kuwataka kutojidharau wenyewe kwani wakijidharau hali hiyo itapelekea wao wenyewe kukata tamaa ya maisha na kushindwa kufanya mambo ya kimaendeleo. Keisha ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

"Uthubutu ni ile hali ya kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima, wafugaji wazidi kuuana Kilosa

Mauaji yanayotokana na migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro, yanazidi kutikisa baada ya watu wengine watatu kuuawa kwenye Kijiji cha Mbiligi, Kata ya Magole wilayani Kilosa.

 

9 years ago

Global Publishers

Polisi kuuana Mwanza, mapya yaibuka

Kuaga (1)
Na Mwandishi Wetu, UWAZI
MWANZA: Bado Jiji la Mwanza limegubikwa na sintofahamu ya Polisi PC Daudi Elisha mwenye namba H 852 kumuua kwa kumpiga risasi askari mwenzake, PC Petro Matiko mwenye namba H 5990 kisha naye kujiua, mapya yameibuka.

Tukio hilo lililoitingisha Mwanza lilijiri saa 8 mchana wa Desemba 23, mwaka huu nje ya Benki ya Posta Tawi la Pamba.

Akizungumza na gazeti hili, kijana mmoja ambaye anadai alikuwa na ukaribu na PC Elisha, huku akiomba hifadhi ya jina lake, alisema...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala

Tazama video ya mtangazaji wa redio ambaye pia ni muimbaji wa jijini Mbeya, Chris Bee ya wimbo wake ‘Wala Wala’ aliowashirikisha G Sacha na Silvia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani