Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFU: Urasta mwafrika mwenzangu siyo bangi, uchafu, uhuni wala ujambazi

Ethiopia imeelea ndani ya habari za kimataifa  wiki hizi mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LINAH: SIJAWAHI KUSAGANA WALA KUMTAMANI MWANAMKE MWENZANGU

STAA wa muziki wa kizazi kipya, Estalina Sanga 'Linah' akifunguka ndani ya GLOBAL TV ONLINE kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo haya:
Mahusiano yake na msanii Amin, Skendo za usagaji, Bifu lake na Lady Jaydee , Amejifunza nini kutoka kwa msanii Ray C , Nini kinaendelea kati yake na Mchungaji Gwajima?, Mafanikio yake kimuziki
UNGANA NASI NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, KWA VIDEO… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano Maalum: “Ujane siyo ulemavu wala Huyatima siyo kufungwa” -Tabu Obago

Tabu Obago, akiwa nyumbani kwake MbagalaTabu Obago, akiwa nyumbani kwake Mbagala
Wapendwa wasomaji, wiki iliyopita niliwaletea mahojiano maalum kutoka kwa dada Zawadi Kakoschke. Katika mahojiahano hayo moja ya maswali ambayo nili muuliza ni kama kuna huusiano kati ya majina ambayo wazazi wanawapa watoto wao na mafanikio au tabia ya watoto hao. Sehemu ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo:-
Wewe binasfi unaamini majina ambayo wazazi wana wapa watoto wao yanachangia katika mafanikio yao kiuchumi, kielimu, na tabia zingine?...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa siyo uhuni, tukuze vipaji

>Wakati vijana wa kizazi kipya walipoingia katika medani ya muziki, walijikita zaidi katika utamaduni wa magharibi,  hali iliyokuwa haiendani na maadili na utamaduni wa Mtanzania, hivyo  jamii iliichukulia muziki huo kama ni wa kihuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Waafrika tumeumbwa kuzaana, wala siyo kuuana

Kinachotokea huko Sudan Kusini, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kina mwelekeo wa kutusogelea sisi watu wa Afrika Mashariki zaidi ya tunavyofikiria.

 

10 years ago

GPL

JIDE MIMI SIYO YESU WALA BIKIRA MARIA!

Supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee akipozi. Kutoka moyoni! Wakati kukiwa na maneno mengi juu ya madai ya kuvunjika kwa ndoa yake na prizenta maarufu Bongo wa Redio E-FM, Gardner G Habash ‘Kepteini’, supastaa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Jide au Jaydee amefunguka kuwa naye si mkamilifu kwani siyo Yesu wala Bikira Maria. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, wikiendi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama

“Pale haki inaponyimwa, pale umaskini unapoimarishwa, siyo watu, wala mali watakuwa salama”

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli

Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.

 

10 years ago

Vijimambo

Marudio yaReggae Time ya Pride FM.......uRASTA (Aprili 18, 2015)

Rasta photo Rasta.gifPhoto Credits: Syatherley's Bucket Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala

Tazama video ya mtangazaji wa redio ambaye pia ni muimbaji wa jijini Mbeya, Chris Bee ya wimbo wake ‘Wala Wala’ aliowashirikisha G Sacha na Silvia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani