Wakulima, wafugaji wazidi kuuana Kilosa
Mauaji yanayotokana na migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro, yanazidi kutikisa baada ya watu wengine watatu kuuawa kwenye Kijiji cha Mbiligi, Kata ya Magole wilayani Kilosa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Feb
Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa
WATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
10 years ago
Habarileo18 Aug
Wakulima 300 wa Kilosa, Chamwino kupigwa jeki
SERIKALI ina mpango wa kufikia wakulima 300 wa wilaya za Kilosa mkoani Morogoro na Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la mpango huo ni kusaidia kutambua changamoto za kilimo zinazowakabili na namna ya kuzipatia suluhu.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Wakulima wa pamba wazidi kukandamizwa
9 years ago
Michuzi02 Sep
WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM
Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Wakulima, wafugaji wapigana Same
KUMEZUKA mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Wakulima, wafugaji waungana kumzomea RC
MKUU wa Mkoa (RC) wa Manyara, Erasto Mbwilo, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wakulima na wafugaji kumtuhumu kwa kukuza migogoro ya mauaji kati yao wilayani Kiteto. Mbali na...
11 years ago
Mwananchi30 Dec
Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika
10 years ago
Habarileo24 Nov
Wakulima, wafugaji Kiteto kusuluhishwa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeunda timu ya watu 10 kutoka kada tofauti wakiwemo viongozi wa dini ambao watapewa jukumu la kufanya kazi ya usuluhishi kwenye vijiji vyenye migogoro baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kiteto mkoani Manyara.