Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa
WATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Wakulima, wafugaji wazidi kuuana Kilosa
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mgogoro wakulima, wafugaji waendelea
WAKULIMA wa Wilaya ya Kiteto, Manyara, wameomba serikali iwape kibali cha kuwaondoa wafugaji kama yenyewe serikali imeshindwa kutatua mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi. Wakulima walitoa kauli hiyo juzi...
10 years ago
StarTV06 Feb
Ubaguzi wadaiwa kugubika mgogoro wa Wakulima na Wafugaji.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wawakilishi wa wafugaji wa Mkoa wa Morogoro na mashirika yanayotetea wafugaji wamedai kuwa mgogoro wa ardhi unaoendelea kati ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero na Kilosa umevaa sura ya maslahi ya kisiasa na ubaguzi dhidi ya wafugaji.
Aidha wafugaji hao pamoja na mashirika yanayotetea haki za wafugaji nchini wametoa mwito wa kuzingatiwa kwa amri ya mahakama iliyotoa maamuzi kuhusu umiliki wa maeneo ya vijiji vyenye mgogoro ili kumaliza mapigano baina ya...
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nfMWTZbtFBk/Vm7DND2Sc6I/AAAAAAADDkU/3DMaa_MFwAw/s72-c/0.jpg)
MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO
![](http://1.bp.blogspot.com/-nfMWTZbtFBk/Vm7DND2Sc6I/AAAAAAADDkU/3DMaa_MFwAw/s640/0.jpg)
Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.
![](http://4.bp.blogspot.com/--wvG5uXh-KY/Vm7DOrlg-vI/AAAAAAADDk4/fZ4ZK3TzV00/s640/e.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Airbus laua wanne, lajeruhi 35 Kilosa
9 years ago
StarTV22 Dec
Mgogoro Wa Ardhi Kilosa Viongozi waliomaliza muda Tindiga waingia lawamani
Mgogoro uliozuka kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Tindiga wilayani Kilosa na kusababisha wakulima 16 kujeruhiwa baada ya kupigwa na wafugaji wa jamii ya kimasai umebainika kukuzwa na viongozi wa serikali ya kijiji hicho waliomaliza muda wao ambao walihodhi maeneo makubwa ya mashamba ya kijiji na kuyakodisha kwa wageni wakiwemo wafugaji.
Aidha viongozi hao wanaidaiwa kuwasaliti wanakijiji na uongozi wa kijiji ulioko madarakani kwa kutoa siri za vikao vinavyojadili mikakati ya...
10 years ago
Habarileo18 Aug
Wakulima 300 wa Kilosa, Chamwino kupigwa jeki
SERIKALI ina mpango wa kufikia wakulima 300 wa wilaya za Kilosa mkoani Morogoro na Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la mpango huo ni kusaidia kutambua changamoto za kilimo zinazowakabili na namna ya kuzipatia suluhu.