Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima 300 wa Kilosa, Chamwino kupigwa jeki

SERIKALI ina mpango wa kufikia wakulima 300 wa wilaya za Kilosa mkoani Morogoro na Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la mpango huo ni kusaidia kutambua changamoto za kilimo zinazowakabili na namna ya kuzipatia suluhu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RED CROSS YAPIGWA JEKI KUWASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA

Rais wa Tanzania Red Cross, Dr. George Nangale,  akifurahia jambo wakati akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Milioni kumi kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha kusaidia jamii" Vodacom Foundation" Yessaya Mwakifulefule. Fedha hizo zimetolewa kwa chama hicho kwa ajili ya kuimarisha huduma na kusaidia waliokumbwa na maafa ya mafuriko yaliyotokea Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro na kuacha mamia ya kaya bila makazi. Wanaoshuhudia ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Kaya 12,300 kunufaika na miradi ya Sh5 bil Chamwino

Wakazi 12,280 wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamenufaika na ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyogharimu kiasi cha Sh5 bilioni kutoka Shirika la Kimataifa la Serikali ya Korea Kusini la Good Neighbours International (GNI).

 

10 years ago

Habarileo

Vijana watakaojiunga pamoja kupigwa jeki

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imesema iko tayari kusaidia vijana watakaojiunga katika vikundi vya ujasiriamali kwa kuwapa mikopo nafuu kutoka kwenye mfuko wa maendeleo ya vijana ulioanzishwa na wizara hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake kupigwa jeki wawe wabunifu

MKURUGENZI wa Utafiti na Maendeleo kutoka Wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika, Dk Fidelis Myaka amesema wizara hiyo itaendelea kuwasaidia wanawake nchini kuwa na ubunifu wa kiteknolojia na zana za kilimo ili kuwapunguzia kazi na kuokoa muda wa kufanya kazi za nyumbani.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima, wafugaji wazidi kuuana Kilosa

Mauaji yanayotokana na migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro, yanazidi kutikisa baada ya watu wengine watatu kuuawa kwenye Kijiji cha Mbiligi, Kata ya Magole wilayani Kilosa.

 

10 years ago

Habarileo

Wanne wafa mgogoro wa wakulima, wafugaji Kilosa

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elias TarimoWATU wanne wamekufa na wengine wanne kujeruhiwa na kulazwa katika kituo cha afya cha Mtakatifu Joseph kilichopo kata ya Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro, baada ya kuzuka kwa mapigano baina ya wakulima na wafugaji.

 

11 years ago

Habarileo

FAO yawapiga jeki wakulima wa mwani

SHIRIKA la Chakula na Kilimo (FAO) limeweka mikakati kuhakikisha wakulima wa zao la mwani wanapiga hatua kubwa na kuongeza mapato na kuondokana na umasikini wa kipato.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 300 WA MKOA WA MTWARA WAJIUNGA NA NSSF

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeandikisha wakulima wa Korosho zaidi ya 300 mkoani mtwara kwenye kampeni ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo ilifanyika mahususi ili kuwafikia watu ambao wako kwenye sekta isiyo rasmi.
Kampeni hiyo yenye malengo ya kufikia umma wa Watanzania ambao haujafikiwa na elimu ya Hifadhi ya jamii, Kuwaandikisha kujiunga na NSSF ili kuongeza wigo wa wanachama na pia Kupata mrejesho wa huduma zetu kutoka kwa wanachama wa mfuko.
Imemaliza mkoani Mtwara na...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA RAJAB MSABAHA KAUZELA AENDELEA NA ZIARA ZA UFUNGUZI WA MATAWI YA CHADEMA JIMBONI KILOSA

Mwanachama wa CHADEMA akiandaa bendera tayari kwa ufunguzi wa Tawi la Chadema Jimboni KilosaMtia ni wa Ubunge Kilosa Ndugu Rajab Msabaha Kauzela akipandisha bendera kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chadema katika mwendelezo wa ziara zake za ufunguzi wa matawi ili kujenga chama Jimboni KilosaWananchi waliofurika kushuhudia ufunguzi wa Tawi Jipya la Chadema moto wa gesi Jimboni KilosaNdugu Kauzela akihutubia wakazi wa Kilosa katika ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni KilosaNdugu Kauzela...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani