Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAO yawapiga jeki wakulima wa mwani

SHIRIKA la Chakula na Kilimo (FAO) limeweka mikakati kuhakikisha wakulima wa zao la mwani wanapiga hatua kubwa na kuongeza mapato na kuondokana na umasikini wa kipato.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

USAID yawapiga jeki wasioona

CHAMA cha Walemavu Wasioona nchini hapa (ZANAB) wamepokea msaada wa vifaa vya kompyuta vinavyotafsiri maneno ya kawaida kwenda kwenye mfumo wa brail, unaotumiwa na walemavu hao kufahamu maneno yaliyoandikwa.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

TPB yawapiga jeki Kyela


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amepokea hundi ya sh. milioni 5 kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Kyela walioathirika na mafuriko ya mvua za masika.
Mvua hizo zilitokea mwanzoni mwa mwaka huu na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi na miundombinu.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Makao Makuu ya TPB, ambapo Dk. Mwakyembe, ambaye pia ni Mbunge wa Kyela, alishukuru kwa mchango huo na kueleza kuwa utatumika kama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA yawapiga jeki Waanglikana, Wasabato

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limechangia sh milioni 20 kwa makanisa ya Anglikana na Waadventista Wasabato yaliyopo Tabata Segerea, jijini. Akikabidhi michango hiyo, Mkurugenzi wa Bodi ya UDA,...

 

10 years ago

StarTV

Serikali Zanzibar yatakiwa kuwawezesha wakulima wa Mwani.

Na Abdallah Tilata,

Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka mikakati ya kuwawezesha wakulima wa Mwani kupata bei bora itakayokidhi gharama ya uendeshaji kutokana na zao hilo kushuka bei sokoni.

Kwa sasa zao hilo lenye soko kubwa nchini China limeshuka bei na kuwafanya wakulima kuuza mwami kwa bei ya chini.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana akiwaongoza...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yawapiga jeki vijana na kuwakumbuka yatima

Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa (kushoto) akitoa elimu kuhusu ujasiriamali na baadhi ya vijana kutoka vyuoni walio katika kambi maalumu iliyoandaliwa na kampuni ya Maa Media kwa udhamini wa NBC mjini Bagamoyo, Pwani hivi karibuni. NBC ilitoa kiasi cha zaidi ya shs milioni 100 ambapo mbali na ujasiriamali vijana hao walifundishwa pia madhara na jinsi ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya. Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani,Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa VSO Tanzania Jean Van Wetter wakati alipowasili katika viwanja vya Ukimbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia zao la mwani na kikundi cha Ulezi ni Kazi cha shehia ya Fujoni Jimbo la...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima 300 wa Kilosa, Chamwino kupigwa jeki

SERIKALI ina mpango wa kufikia wakulima 300 wa wilaya za Kilosa mkoani Morogoro na Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la mpango huo ni kusaidia kutambua changamoto za kilimo zinazowakabili na namna ya kuzipatia suluhu.

 

9 years ago

Habarileo

CUF yaahidi bei nzuri ya mwani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewahakikishia wakulima wa mwani bei nzuri ya zao hilo iwapo wananchi watakipa ridhaa ya kuingia madarakani katika Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa soko watishia kilimo cha mwani

Kwa Watanzania wengi waishio bara huenda wasilifahamu sana zao la Mwani ambalo hulimwa katika sehemu mbalimbali za pwani nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani