Serikali Zanzibar yatakiwa kuwawezesha wakulima wa Mwani.
Na Abdallah Tilata,
Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka mikakati ya kuwawezesha wakulima wa Mwani kupata bei bora itakayokidhi gharama ya uendeshaji kutokana na zao hilo kushuka bei sokoni.
Kwa sasa zao hilo lenye soko kubwa nchini China limeshuka bei na kuwafanya wakulima kuuza mwami kwa bei ya chini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana akiwaongoza...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDkt. Shein akabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani,Zanzibar
11 years ago
Habarileo09 Apr
FAO yawapiga jeki wakulima wa mwani
SHIRIKA la Chakula na Kilimo (FAO) limeweka mikakati kuhakikisha wakulima wa zao la mwani wanapiga hatua kubwa na kuongeza mapato na kuondokana na umasikini wa kipato.
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Tisho kwa kilimo cha Mwani Zanzibar
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Sera mbovu zinavyoangusha zao la mwani Zanzibar
5 years ago
MichuziBodi ya Chama kikuu cha Ushirika Rukwa yatakiwa kurudisha heshimuakwa Wakulima
Amesema kuwa utendaji kazi bora wa bodi hiyo utainua kipato cha wakulima ndani ya mkoa, na hatimae kuinua pato la taifa katika kukuza zao la mahindi na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z7_HK1vWa2Q/Xru4NbkP49I/AAAAAAAEG_E/99LZNtfppHgnjsdOOdsueLdKi38M_b30wCLcBGAsYHQ/s72-c/001.jpg)
Serikali ya Mtaa yawashukuru wasaidizi wa kisheria kwa kuwawezesha wanawake kiuchumi
Hayo yamesemwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Zena Kapama wakati akizungumzia umuhimu wa na kazi za wasaidizi wa kisheria pamoja na kazi zao za kuzaidia jamii na hasa kwenye kupata haki zao za kisheria.
‘Wasaidizi wa kisheria ni watu muhimu sana kwenye jamii yetu. Wanawezesha wananchi wetu kujua haki zao za kisheria na sana sana kwa wanawake ambao mara...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Serikali yatakiwa kusimamisha malipo
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi
Serikali imetakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.
Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji wa transforma cha TANELEC kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...
10 years ago
Habarileo26 Jan
Serikali yatakiwa kugharamia ukusanyaji takwimu
ASASI inayoshughulika na Mambo ya Takwimu (OSSO) imeonya kuwa kitendo cha Serikali kutegemea fedha za wahisani kuwezesha ukusanyaji wa takwimu za ndani ya nchi ni hatari kwa taifa, kwani kunawapa fursa wahisani hao kujua mipango yote ya nchi.