Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sera mbovu zinavyoangusha zao la mwani Zanzibar

>Wakati wakulima wa zao la mwani wakiungana na wazalishaji wengine Zanzibar kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kilimo cha zao hilo kimeendelea kuzorota kufuatia wakulima kupoteza matumaini ya soko la uhakika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ashiriki upandaji wa zao la Mwani Kusini Unguja

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda zao la mwani katika Kijiji cha Kibigija, Jambiani, Wilaya ya Kusini Unguja, Zanzibar leo, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

02

Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM pamoja na wakulima wakiondoka baada kushiriki kupanda mwani.

 Komredi Kinana akilakiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi, Haroun Ali...

 

11 years ago

Mwananchi

Sera mbovu kiini kuporomoka elimu

Wadau wa elimu nchini wameichambua elimu ya Tanzania na kueleza kuwa, tatizo la kuporomoka kwa elimu ni matokeo ya sera na mifumo mibovu na si uhaba wa miundombinu kama madawati, vitabu au majengo.

 

9 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aahidi kupandisha bei ya zao la mwani pindipo akichaguliwa kuwa Rais



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi wa Tumbe alipotembelea eneo hilo.
Na Khamis Haji , OMKR
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaahidi wakulima wa zao la mwani Zanzibar kuwa atapandisha bei ya zao hilo mara moja, iwap atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

Maalim Seif alisema bei wanayolipwa wakulima ya shilingi 700 na 800 hivi sasa ni ndogo na hailingani na...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHIRIKI KUPANDA ZAO LA MWANI BAHARINI‏

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana Samia Suluhu Mbunge wa jimbo la Makunduchi mara baada ya kuwasili katika tawi la Pete Makunduchi, katikati ni Mwakilishi wa jimbo la Makunduchi Haroun Ali Suleiman.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Tisho kwa kilimo cha Mwani Zanzibar

Ukulima wa mwani umekuwa na umuhimu mkubwa katika kuinua uchumi wa Zanzibar, lakini hivi sasa zao hili linaonekana kuwa hatarini kupotea.

 

10 years ago

StarTV

Serikali Zanzibar yatakiwa kuwawezesha wakulima wa Mwani.

Na Abdallah Tilata,

Zanzibar.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka mikakati ya kuwawezesha wakulima wa Mwani kupata bei bora itakayokidhi gharama ya uendeshaji kutokana na zao hilo kushuka bei sokoni.

Kwa sasa zao hilo lenye soko kubwa nchini China limeshuka bei na kuwafanya wakulima kuuza mwami kwa bei ya chini.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana akiwaongoza...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani,Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa VSO Tanzania Jean Van Wetter wakati alipowasili katika viwanja vya Ukimbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia zao la mwani na kikundi cha Ulezi ni Kazi cha shehia ya Fujoni Jimbo la...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA UCHAGUZI MKIKIMKIKI 2015 WAZINDULIWA VYAMA VIKUU VYA SIASA KUJADILI SERA ZAO

TWAWEZA inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi. Aidha midahalo hii tawapa wananchi fursa ya kuwahoji na kuwapima wagombea na wataalamu wa vyama vikuu vya siasa.
Mfululizo huu wa midahalo umekuja wakati muafaka. Utafiti ulidhaminiwa na Twaweza, uligundua kuwa wananchi 8 kati ya 10 wanafikiri kuwa wagombea ubunge (78%) na urais (79%) wanapaswa kuwa na midahalo ya pamoja. Mbali...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizundua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar kwa kukata utepe kuashiria kuzindua Mfuko huo na kukabidhi Shirika la Bima Zanzibar Cheki ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya mfuko huo kulipa Bima kwa Wakulima watakaoanguka katika mikarafuu wakati wa uchumaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni 60 Mkurugenzi Mtendaji wa SAhirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani