Serikali ya Mtaa yawashukuru wasaidizi wa kisheria kwa kuwawezesha wanawake kiuchumi
![](https://1.bp.blogspot.com/-z7_HK1vWa2Q/Xru4NbkP49I/AAAAAAAEG_E/99LZNtfppHgnjsdOOdsueLdKi38M_b30wCLcBGAsYHQ/s72-c/001.jpg)
Wasaidizi wa kisheria hapa nchini wamepogezwa kwa kuwawezesha wanawake kujikwamua kiuchumi na pia kuwasaidia kuweza kupata haki ya mirathi.
Hayo yamesemwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Zena Kapama wakati akizungumzia umuhimu wa na kazi za wasaidizi wa kisheria pamoja na kazi zao za kuzaidia jamii na hasa kwenye kupata haki zao za kisheria.
‘Wasaidizi wa kisheria ni watu muhimu sana kwenye jamii yetu. Wanawezesha wananchi wetu kujua haki zao za kisheria na sana sana kwa wanawake ambao mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Kikwete ajivunia kuwawezesha wanawake kiuongozi, kiuchumi
10 years ago
MichuziSERIKALI KUENDELEA KUTOA VIPAUMBELE KWA WANAWAKE KIUCHUMI, KIELIMU NA KIUONGOZI
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wanawake kitafa akibonyeza kitufe katika kompyuta mpakato kwa ajili ya kupinga king'ora ili kuashiria uzinduzi rasmi wa maadhimisho hayo jana ( Machi 6) ambayo kilele chake ni machi 8, mwaka huu ,katika uwanja wa Jamhuri wa Morogoro ( anayepiga makofi) ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana ( kulia) ni Katibu Tawala Msaidizi wa mkoa ,...
11 years ago
Dewji Blog16 Apr
Taasisi ya Kivulini yaanza vikao vya utendaji kazi kwa wasaidizi wa kisheria wilaya za mkoani Mwanza
Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Bw. Ramadhan Masele akizungumza na Wasaidizi wa Kisheria (hawapo pichani) wilaya ya Sengerema cha tathmini ya utendaji kazi wa Wasaidizi wa kisheria chini ya mradi wa msaada wa kisheria na haki za binadamu kilichoanza mapema jana asubuhi.
Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na kutetea haki za Wanawake, KIVULINI, yenye makao makuu jijini Mwanza imeanza kufanya vikao vya tathmini ya utendeji kazi wa wasaidizi wa kisheria kwa robo mwaka ya pili...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Wasaidizi kisheria waaswa
NA ALLY BADI, LINDI
OFISA Mfawidhi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Kusini, Mourice Chisi, amewataka wasaidizi wa kisheria kutumia nafasi zao kuwasaidia wananchi mkoani hapa kutatua migogoro bila upendeleo.
Wito huo ameutoa wakati alipokuwa anafunga kikao kazi na kugawa vyeti kwa wahitimu wasaidizi wa kisheria kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi kilichoandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto Mkoa wa Lindi (LIWOPAC).
Alisema wasaidizi wa kisheria ni...
10 years ago
Vijimambo12 Nov
WASAIDIZI WA KISHERIA 25 WAPEWA MAFUNZO RUNGWE.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4r8V0-zVR-k/U8lzdhRO9fI/AAAAAAAF3cY/_EGBjWUG0e4/s72-c/unnamed+(77).jpg)
Kairuki: Wananchi tumieni wasaidizi wa kisheria kutatua migogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-4r8V0-zVR-k/U8lzdhRO9fI/AAAAAAAF3cY/_EGBjWUG0e4/s1600/unnamed+(77).jpg)
9 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII
10 years ago
VijimamboWASAIDIZI WA KISHERIA KATIKA MASOKO MANISPAA YA ILALA, WAMALIZA MAFUNZO YA SIKU 25