Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasaidizi kisheria waaswa

NA ALLY BADI, LINDI
OFISA Mfawidhi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Kusini, Mourice Chisi, amewataka wasaidizi wa kisheria kutumia nafasi zao kuwasaidia wananchi mkoani hapa kutatua migogoro bila upendeleo.
Wito huo ameutoa wakati alipokuwa anafunga kikao kazi na kugawa vyeti kwa wahitimu wasaidizi wa kisheria kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi kilichoandaliwa na Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto Mkoa wa Lindi (LIWOPAC).
Alisema wasaidizi wa kisheria ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA KISHERIA 25 WAPEWA MAFUNZO RUNGWE.

 Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Christopher Nyambaza, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo wakati akifunga mafunzo ya wiki moja ya Wasaidizi wa kisheria yaliyotolewa na House of Peace. Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Amon Nyingi, akimkaribisha mgeni rasmi katika kufunga mafunzo ya wasaidizi wa kisheria. Mratibu wa Mafunzo ya Wasaidizi wa Kisheria, Dorothy Ndazi kutoka House of Peace akisoma taarifa kwa mgeni rasmi. Mmoja wa Wanafunzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Kairuki: Wananchi tumieni wasaidizi wa kisheria kutatua migogoro

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wa majumuisho ya ziara yake ya siku tano katika taasisi zinazotoa msaada wa kisheria jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo imemalizika leo (Ijumaa, Julai 18, 2014). Wengine ni Wajumbe wa Bodi ya Sekretarieti ya Msaada wa Kisheria (LAS) Dkt. Hellen Kijo-Bisimba (kulia) na Bi. Theodosia Muhulo.Kupata taarifa kamili BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Mtaa yawashukuru wasaidizi wa kisheria kwa kuwawezesha wanawake kiuchumi

 Wasaidizi wa kisheria hapa nchini wamepogezwa kwa kuwawezesha wanawake kujikwamua kiuchumi na pia kuwasaidia kuweza kupata haki ya mirathi.
Hayo yamesemwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Zena Kapama wakati akizungumzia umuhimu wa na kazi za wasaidizi wa kisheria pamoja na kazi zao za kuzaidia jamii na hasa kwenye kupata haki zao za kisheria.
‘Wasaidizi wa kisheria ni watu muhimu sana kwenye jamii yetu. Wanawezesha wananchi wetu kujua haki zao za kisheria na sana sana kwa wanawake ambao mara...

 

10 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA KISHERIA KATIKA MASOKO MANISPAA YA ILALA, WAMALIZA MAFUNZO YA SIKU 25

Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo. Kutoka kulia ni Mwakilirishi kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Doris Gweba, Diwani wa Kata ya Mchikichini Mhe.Riyani na Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi.
Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi (katikati),...

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AFUNGUA RASMI KONGAMANO LA WASAIDIZI WA KISHERIA MAGEREZANI MKOANI MOROGORO

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba kwa Maofisa Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kwenye ufunguzi wa Kongamano la Wasaidizi wa Sheria lililofadhiliwa na Shirika la Envirocare ambapo Kongamano hilo litafanyika kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 2, 2015 Mkoani Morogoro. Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo ambao ni Maofisa wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa Mitano Tanzania Bara(Dar es Salaam, Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Morogoro) wakifuatilia kwa makini...

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SHERIA NA UENDESHAJI WA MAGEREZA AFUNGA RASMI KONGAMANO LA WASAIDIZI WA KISHERIA MAGEREZANI MKOANI MOROGORO

Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba kwa Maofisa Wasaidizi wa Kisheria Magerezani kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wasaidizi wa Sheria lililofadhiliwa na Shirika la Envirocare ambapo Kongamano hilo limefanyika kwa siku tatu kuanzia Septemba 2, 2015 Mkoani Morogoro. Washiriki wa Kongamano hilo ambao ni Maofisa wa Jeshi la Magereza kutoka Mikoa Mitano Tanzania Bara(Dar es Salaam, Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Morogoro) wakifuatilia kwa makini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Kivulini yaanza vikao vya utendaji kazi kwa wasaidizi wa kisheria wilaya za mkoani Mwanza

1

Mkurugenzi wa Shirika la KIVULINI Bw. Ramadhan Masele akizungumza na Wasaidizi wa Kisheria (hawapo pichani) wilaya ya Sengerema cha tathmini ya utendaji kazi wa Wasaidizi wa kisheria chini ya mradi wa msaada wa kisheria na haki za binadamu kilichoanza mapema jana asubuhi.

Taasisi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na kutetea haki za Wanawake, KIVULINI, yenye makao makuu jijini Mwanza imeanza kufanya vikao vya tathmini ya utendeji kazi wa wasaidizi wa kisheria kwa robo mwaka ya pili...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA


 Mtoto Samia Selemani akinawa mikono  wakati wa kampeni ya utoaji elimu ya namna ya kujikinga dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa corona Ilongero Wilaya ya Singida Vijijini mkoani hapa jana. Kampeni hiyo ilifanywa na Shirika lisilo la Kiserikali  la Sustanable Environment Management Action (SEMA) kwa kushirikiana na wadau kutoka Taasisi ya Empower Youth Prosperity  ( EYP) ya mkoani Mbeya kwa ufadhili wa Shirika la Stromme East Africa Foundation lenye Makao Makuu Kampala nchini  Uganda huku...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasaidizi waachiliwa huru Darfur

Wafanyakazi wa shirika la misaada Darfur waachiliwa huru baada ya mwezi mmoja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani