TPB yawapiga jeki Kyela
NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amepokea hundi ya sh. milioni 5 kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Kyela walioathirika na mafuriko ya mvua za masika.
Mvua hizo zilitokea mwanzoni mwa mwaka huu na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi na miundombinu.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Makao Makuu ya TPB, ambapo Dk. Mwakyembe, ambaye pia ni Mbunge wa Kyela, alishukuru kwa mchango huo na kueleza kuwa utatumika kama...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 May
USAID yawapiga jeki wasioona
CHAMA cha Walemavu Wasioona nchini hapa (ZANAB) wamepokea msaada wa vifaa vya kompyuta vinavyotafsiri maneno ya kawaida kwenda kwenye mfumo wa brail, unaotumiwa na walemavu hao kufahamu maneno yaliyoandikwa.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
TPB yampiga jeki Mwakyembe
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amepokea hundi ya sh milioni tano kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Wilaya ya Kyela walioathirika na mafuriko...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
UDA yawapiga jeki Waanglikana, Wasabato
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limechangia sh milioni 20 kwa makanisa ya Anglikana na Waadventista Wasabato yaliyopo Tabata Segerea, jijini. Akikabidhi michango hiyo, Mkurugenzi wa Bodi ya UDA,...
11 years ago
Habarileo09 Apr
FAO yawapiga jeki wakulima wa mwani
SHIRIKA la Chakula na Kilimo (FAO) limeweka mikakati kuhakikisha wakulima wa zao la mwani wanapiga hatua kubwa na kuongeza mapato na kuondokana na umasikini wa kipato.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yawapiga jeki vijana na kuwakumbuka yatima
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Kyela waiharakisha CHADEMA
WANANCHI wilayani hapa mkoani Mbeya, wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuanza mapema mchakato wa kulitwaa jimbo la Kyela baada ya jimbo hilo kuwa likizo kwa miaka minane baada...
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Mafuriko yaua Kyela
10 years ago
Habarileo03 Aug
Kyela ni Mwakyembe tena
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe ambaye pia ni Mbunge wa Kyela anayemaliza muda muda wake, ameshinda kura za maoni katika jimbo hilo akiwabwaga wagombea wenzake tisa waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.
10 years ago
Mtanzania17 Sep
Utekaji, mauaji vyatikisa Kyela
Na Mwandishi Wetu, Kyela
WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto wa kike katika Kata ya Itunge Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya linatisha.
Hali imezidi kuwa mbaya, baada ya watoto wa kike kutekwa na kuuawa kinyama, kisha kunyofolewa viungo katika sehemu za miili yao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Itunge Kaskazini, Amasha Amasha alisema siku tatu zilizopita kumekuwa na matukio ya utekeji wa watoto, jambo ambalo limezua hofu kubwa katika eneo hilo.
Alisema mwanafunzi wa...