Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA ZAIDI YA 300 WA MKOA WA MTWARA WAJIUNGA NA NSSF

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeandikisha wakulima wa Korosho zaidi ya 300 mkoani mtwara kwenye kampeni ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo ilifanyika mahususi ili kuwafikia watu ambao wako kwenye sekta isiyo rasmi.
Kampeni hiyo yenye malengo ya kufikia umma wa Watanzania ambao haujafikiwa na elimu ya Hifadhi ya jamii, Kuwaandikisha kujiunga na NSSF ili kuongeza wigo wa wanachama na pia Kupata mrejesho wa huduma zetu kutoka kwa wanachama wa mfuko.
Imemaliza mkoani Mtwara na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabilioni ya NSSF kwenda kwa wakulima Mtwara

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Mtwara umetenga zaidi ya Sh11 bilioni kwa ajili ya pensheni kwa wakulima wapatao 63,000 wa mkoa huo ambao wataanza kusajiliwa Agosti, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Zinatumia umeme zaidi ya Mkoa wa Mtwara

Ghorofa nne za kisasa zilizopo Dar es Salaam, zinatumia kiasi kikubwa cha umeme kuliko ule unaotumiwa katika Mkoa wa Mtwara.

 

10 years ago

Michuzi

WENGI WAJIUNGA NA NSSF MAONYESHO YA NANENANE

 Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akiwaelezea faidaza kujiunga na mfuko huo wakazi wa Mkoa wa Lindi waliofika kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa mkoani humo. Meneja Kiongozi wa Masoko Na Uhusiano Eunice Chiume akiwapa Maelezo ya Faida za kuwa Mwanachama wa NSSF wanachama waliotembelea banda la NSSF mkoani Lindi. Mwanachama wa Hiari, Mrisho Mpoto akilipia michango yake kwenye maonesho ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima 300 wa Kilosa, Chamwino kupigwa jeki

SERIKALI ina mpango wa kufikia wakulima 300 wa wilaya za Kilosa mkoani Morogoro na Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la mpango huo ni kusaidia kutambua changamoto za kilimo zinazowakabili na namna ya kuzipatia suluhu.

 

11 years ago

Habarileo

NSSF kukopesha wakulima wa kahawa

WAKULIMA za zao la Kahawa wanatarajia kunufaika na mikopo inayotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Kilimanjaro, kuboresha zao hilo, ambalo limekumbwa na changamoto mbalimbali.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC MKOANI MTWARA


 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akikagua timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya Ndanda FC uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.Kikosi kamili cha timu ya Simba kilichopambana na Ndanda FC.
Kikosi cha Ndanda FC kikiwa klatika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Simba.Wachezazaji wa Simba na Ndanda wakichuana katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Simba na Danda FC.
Kwa habari kamili na...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YAWAFATA WAKULIMA MASHAMBANI MKOANI MBEYA

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)  limeanza  kampeni  ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo itafanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, Kampeni hiyo imeanza kwa kuwafikia wakulima kwenye vijiji vyao na Mashamba yao  Mkoani Mbeya ili kuweza kuwapa elimu juu ya hifadhi ya jamii na faida zake.
Kampeni hiyo imeanzia kwenye Kijiji cha Iyumpi wilayani Mbozi ambako wakulima wa Kahawa zaidi ya 44 wamejiunga na NSSF. Pia Kampeni hiyo inatarajia kwenda Wilayani Ileje, Vijiji vya Mloo na...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yapokea maombi ya Sh1 bilioni kutoka Saccos mkoani Mtwara

Zaidi ya maombi ya mkopo wa Sh1 bilioni yametumwa na vyama vya Akiba na Mikopo (Saccos) Mkoa wa Mtwara kwa Shirika la Hifadhi wa Jamii (NSSF).

 

10 years ago

BBCSwahili

IS waua zaidi ya watu 300 Iraq

Iraq imesema wapiganaji wa Islamic State wameua zaidi ya watu 300 wa madhehebu ya Sunni katika jimbo la Anbar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani