Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC MKOANI MTWARA


 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akikagua timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya Ndanda FC uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.Kikosi kamili cha timu ya Simba kilichopambana na Ndanda FC.
Kikosi cha Ndanda FC kikiwa klatika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Simba.Wachezazaji wa Simba na Ndanda wakichuana katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Simba na Danda FC.
Kwa habari kamili na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMISEMITA MKOANI MOROGORO

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ndio mdhamini Mkuu wa mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (Shimisemita) inayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro  hadi Novemba 11.


 Katika mashindano hayo NSSF imepata fursa ya kutoa elimu kuhusu Mafao mbalimabli yatolewayo na Shirika hilo ikiwemo Mango mpya kwa ajili ya Wakulima na Wachimbaji wadogo wa Madini.
Katika mpango huo, Wakulima sasa wanaweza kujiunga na NSSF na kufaidika na Mafao mbalimbali yanayotolewa na...

 

11 years ago

Michuzi

Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu

Na Abdulaziz Video,Masasi.
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yapokea maombi ya Sh1 bilioni kutoka Saccos mkoani Mtwara

Zaidi ya maombi ya mkopo wa Sh1 bilioni yametumwa na vyama vya Akiba na Mikopo (Saccos) Mkoa wa Mtwara kwa Shirika la Hifadhi wa Jamii (NSSF).

 

10 years ago

Michuzi

ACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA AMANI

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi hao na mabalozi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 17, 2015. Mabalozi walishinda kwa mikwaju ya penati 3-2 na kutwaa kombe. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, na wakwanza ushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Acacia, anayeshughulikia ustawi wa...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI KAMBI YA KUOGELEA YA WATOTO

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imedhamini kambi ya siku tano ya kuogelea iliyoandaliwa na Champions Rise Swimming Club. Kambi hiyo inayofanyika katika bwawa la kuogelea la shule ya Sekondari ya Shabaan Robert inaendeshwa na Kocha kutoka marekani pamoja na muogoleaji mwenye medali ya dhahabu, Penny Haynes.

Kambi hii inafanyika kwa mara ya kwanza kukiwa na muogeleaji bingwa wa dunia, Lengo likiwa ni kuwahamasisha waogeleaji wa Tanzania kufikia kiwango cha Kimataifa.


Akizungumza...

 

10 years ago

Habarileo

Ndanda yaanza kujinoa Mtwara

BAADA ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC, kikosi cha Ndanda FC, kimeanza kujinoa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu kilichopo Mikindani Manispaa ya Mtwara kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara ambao utaanza Septemba 12.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA

TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa Jumamosi wiki hii.
Coastal Union ambayo mechi yao iliyopita dhidi ya Mbeya City iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani haikupata matokeo mazuri sana baada ya kulazimishwa sare hivo itaingia kwenye mechi hiyo mithili ya mbogo aliyejeruhiwa msituni.
Akizungumzia maandalizi ya kuelekea mchezo huo,Kocha Mkuu wa Coastal...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO LA CHUO CHA IFM

Mchezaji wa timu ya mpira wa Kikapu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Ephraim Mlawa (kushoto) akichuana na Juvenary Shichose wakati Bonanza la michezo la wanafunzi wa Chuo hicho lililofanyika, mwishoni mwa wiki katika Kituo cha Michezo cha JMK Youth Park na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kutoa vifaa vya michezo kwa timu zilizoshiriki mchezo wa soka. (Picha na Francis Dande)Timu za mpira wa kikapu kutoka Chuo cha IFM zikichuana katika Bonanza la michezo la...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Maife Kapinga akimkaribisha Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara wakati alipotembelea banda la NSSF wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoambatana na bonanza la michezo lililofanyika DUCE jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. NSSF walidhamini bonanza hilo.  Wachezaji  wa timu ya mpira wa kikapu ya Don Bosco wakipata maelezo kutoka kwa Maofisa Uhusiano wa  Shirika la Taifa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani