Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu

Na Abdulaziz Video,Masasi.
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC MKOANI MTWARA


 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akikagua timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya Ndanda FC uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.Kikosi kamili cha timu ya Simba kilichopambana na Ndanda FC.
Kikosi cha Ndanda FC kikiwa klatika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Simba.Wachezazaji wa Simba na Ndanda wakichuana katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Simba na Danda FC.
Kwa habari kamili na...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ALIVYOFUNGA KAZI MASASI, MKOANI MTWARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Boma, Mjini Masasi Mkoani Mtwara, kulikifanyika Mkutano wake wa Kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi kugombea nafasi, uliofanyika leo Septemba 22, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, MASASI.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Masasi, Mkoani Mtwara, muda...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mafunzo ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro yafanyika Masasi, Mkoani Mtwara

SONY DSC

Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Br. Edwin Mpokasye akiwakaribisha washiriki katika ufunguzi wa warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.

SONY DSC

Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Br. Edwin Mpokasye akikabidhi risala aliyoitoa kwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi Farida Mgomi wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa warsha hiyo.

SONY DSC

Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa ufafanuzi...

 

11 years ago

GPL

NDOTO NYINGINE BALAA TUPU!

Ndoto bwana, mara nyingine ziko poa mara nyingine unajilaumu kwa nini ulilala. We fikiria unaweza kuota unafukuzwa na mbwa mtaani huna hata nguo moja,  kila ukikata kona huyu hapa, unaamka jasho chapachapa, au unaota uko vitani tena zile vita za kizamani za mapanga, ile unataka kukatwa kichwa unashtuka, ukitaka kulala inarudia palepale utadhani unaangalia muvi. Halafu kuna zile ndoto za maudhi, we fikiria unaota umekaribishwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa magari ni balaa tupu

Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao’ inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua upya vifaa kwa wezi hao.

 

10 years ago

GPL

UNYAGO WA KICHINA NA WANAWAKE WA KISASA, BALAA TUPU

Kama kawa nimerudi tena nikiwa na hasira kama faru aliyejeruhiwa, nakuuliza hivi kwa nini lakini? Tabia hiyo ndo uliyofundwa mkoleni? Jamani kabila lako si ndiyo  mafundi wa kuwaweka ndani wanawari, mnafundishwa nini, kuogea machicha ya nazi? Loh! Mwana mbona unatia aibu kabila lako? Unamuaibisha somo yako na kuonekana mafunzo yote aliyokupa ulipokuwa mkoleni kazi bure.Jamani hivi ewe mwana, kutulia kwako kuna nini? Nyumba...

 

9 years ago

Habarileo

Ndanda yaanza kujinoa Mtwara

BAADA ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC, kikosi cha Ndanda FC, kimeanza kujinoa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu kilichopo Mikindani Manispaa ya Mtwara kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara ambao utaanza Septemba 12.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA

TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa Jumamosi wiki hii.
Coastal Union ambayo mechi yao iliyopita dhidi ya Mbeya City iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani haikupata matokeo mazuri sana baada ya kulazimishwa sare hivo itaingia kwenye mechi hiyo mithili ya mbogo aliyejeruhiwa msituni.
Akizungumzia maandalizi ya kuelekea mchezo huo,Kocha Mkuu wa Coastal...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugawaji pembejeo Mtwara kero tupu, wakulima walia

“Wakulima wa korosho tunaweza kuboresha uchumi wetu kama Serikali itakuwa na nia madhubuti ya kukuza na kuwekeza katika kilimo.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani