NDOTO NYINGINE BALAA TUPU!
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsC546oaprouqWMAFUkwfzy5qhCY7kz2*CA985fdIA6dVdi*9*cmav1iIkNwbewwYKEVBaq6IVCq0NRuzWqDOPg/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
Ndoto bwana, mara nyingine ziko poa mara nyingine unajilaumu kwa nini ulilala. We fikiria unaweza kuota unafukuzwa na mbwa mtaani huna hata nguo moja, kila ukikata kona huyu hapa, unaamka jasho chapachapa, au unaota uko vitani tena zile vita za kizamani za mapanga, ile unataka kukatwa kichwa unashtuka, ukitaka kulala inarudia palepale utadhani unaangalia muvi. Halafu kuna zile ndoto za maudhi, we fikiria unaota umekaribishwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Apr
Wizi wa magari ni balaa tupu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTUpAsup-ugIBV2R6vWoNgpTipGru7JfiSAPytz*g5PJXrA-M2XebI9v*topEX9RlNc-ENJtaVJ3tpUX85wQZLN/mariamenounostwitterwallpaper.jpg?width=650)
UNYAGO WA KICHINA NA WANAWAKE WA KISASA, BALAA TUPU
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PpxOhq6_WDI/UvsXfdr8SSI/AAAAAAAFMdw/-1izxQdMW7Y/s72-c/mkalapa+Masasi+(3).jpg)
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3AKtSN3VhtnChD2assk6qVj6Tz7zV73X9uc0unVz2QHdAZiEJmCo-wFXsQ5ZH-RlnrijdK4iADMj5YZFSkDDknt/ofm.jpg?width=650)
UZEMBE TUPU
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Presha tupu,
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
CCM rafu tupu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na makada wa Chama cha ACT-Tanzania, wanadaiwa kuendesha mkakati wa kuvuruga uchaguzi wa kitaifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili kuzima...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Hatari tupu TFDA
UZEMBE wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) wa kutochukua hatua stahiki dhidi ya mmiliki wa duka la dawa baridi la Core Pharmacy, Sohil Lalani aliyelalamikiwa na Mkurugenzi wa...
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Wambura shaka tupu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5NKbiQQDvsYaAx5K0W*DanAH0*6NwxvCCPcwrPf8XtrXxNrQrrrK9yHjycQJ4XwGkEhl4OVzyqos11qPOaynTQI/Gwajima.jpg?width=650)
GWAJIMA PRESHA TUPU!