Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZEMBE TUPU

KIMENUKA! Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam imebainika kuwa na uzembe uliopitiliza, hali inayowafanya wagonjwa kuendelea kuilalamikia kila kukicha, Uwazi lina mlolongo wote. Uzembe huo umebainika baada ya makachero wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wanaopata huduma duni katika hospitali hiyo huku wakilalamikia uzembe wa matabibu na rushwa kwa baadhi ya wahudumu. Mtoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UZEMBE... UZEMBE

Stori: Mwandishi Wetu UZEMBE…uzembe…uzembe ndiyo kauli ambayo ilitolewa na wananchi walioshuhudia ajali mbaya iliyohusisha magari mawili ya abiria (daladala) aina ya Toyota-Coaster maeneo ya Lugalo jijini Dar na kusababisha vifo vya watu sita na wengine 16 kujeruhiwa vibaya.…

 

10 years ago

Mwananchi

Wakerwa na uzembe Moshi

Wananchi wa Kijiji cha Himo, Kata ya Makuyuni, wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wameonyesha kukerwa na kitendo cha halmashauri ya kijiji kutoichukulia hatua kampuni iliyoshinda zabuni ya kukusanya ushuru wa malori yanayosafirisha mazao kwenda Kenya.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CUF ya subira na uzembe

Na Rashid Abdallah Miezi mitatu nyuma, asubuhi ya saa tano nilikuwa nimepanga foleni kusubiri kitambulisho , sasa ikaonekana mstari wetu hausogii hata kidogo, mmoja wa wenzetu akauliza; vipi mbona hatusogei?, Mwengine akamjibu kuwa “vuta subira tutafika […]

The post CUF ya subira na uzembe appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzembe TFF waitoa U- 23 Olimpiki

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23, Ngorongoro Heroes haitashiriki michezo ya Olimpiki hadi mwaka 2020 baada ya Tanzania kushindwa kuthibitisha ushiriki wake kwenye mchakato wa kusaka nafasi hiyo Afrika ulioanza jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji 15 mbaroni kwa uzembe

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watendaji wa kata 15 za Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kushindwa kuwakamata wazazi na walezi walioshindwa kuwapeleka watoto shule za sekondari. Agizo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Majangili kushamiri ni uzembe wa Serikali

Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita kulikuwa na maandamano yaliyoongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii na wadau wa utalii na mazingira nchini. Maandamano hayo yalipinga kuendelea kwa vitendo vya ujangili hasa yale yanayohusisha mauaji ya kutafuta meno ya tembo katika mapori yetu. Mimi niliyaunga mkono ila lawama zangu ni kwa Serikali, na siyo majangili tu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuwakumbuka waliokufa kwa uzembe wa watawala

Na Charles Misango WIKI hii yametokea mambo mawili makubwa hapa nchini, lakini kwa bahati mbaya hayakupewa uzito stahiki. Huko Mtwara, mamia ya wakazi wake walikuwa katika maombolezo mazito ya ndugu...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF iwajibike kwa uzembe huu wa U-23

Juzi, gazeti hili liliandika habari ya kusikitisha iliyohusu timu ya Taifa ya Vijana, chini ya umri wa miaka 23 ‘Ngorongoro Heroes’ kuondolewa kwenye mchakato wa kufuzu kushiriki michezo ya Olimpiki mwakani mjini Rio de Janeiro, Brazil.

 

11 years ago

Mwananchi

Tasaf yalaumu uzembe kwenye miradi

. Licha ya Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo, mingi huishia kufa kutokana na sekta husika kutokuwa na ufuatiliaji na usimamizi wa kutosha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani