UZEMBE... UZEMBE
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*2jEjt9XhzLG16*vnOKnbKCerQRzSZ2ER73n3pQbbJP9q9-fV70Pvy4bVKOsheqnDMRtHm1i3W0xlt4EgKQVya/INAUMASANA.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu UZEMBE…uzembe…uzembe ndiyo kauli ambayo ilitolewa na wananchi walioshuhudia ajali mbaya iliyohusisha magari mawili ya abiria (daladala) aina ya Toyota-Coaster maeneo ya Lugalo jijini Dar na kusababisha vifo vya watu sita na wengine 16 kujeruhiwa vibaya.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3AKtSN3VhtnChD2assk6qVj6Tz7zV73X9uc0unVz2QHdAZiEJmCo-wFXsQ5ZH-RlnrijdK4iADMj5YZFSkDDknt/ofm.jpg?width=650)
UZEMBE TUPU
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Wakerwa na uzembe Moshi
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Aug
CUF ya subira na uzembe
Na Rashid Abdallah Miezi mitatu nyuma, asubuhi ya saa tano nilikuwa nimepanga foleni kusubiri kitambulisho , sasa ikaonekana mstari wetu hausogii hata kidogo, mmoja wa wenzetu akauliza; vipi mbona hatusogei?, Mwengine akamjibu kuwa “vuta subira tutafika […]
The post CUF ya subira na uzembe appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Majangili kushamiri ni uzembe wa Serikali
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Watendaji 15 mbaroni kwa uzembe
JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watendaji wa kata 15 za Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kushindwa kuwakamata wazazi na walezi walioshindwa kuwapeleka watoto shule za sekondari. Agizo la...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Uzembe TFF waitoa U- 23 Olimpiki
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Uzembe kama huu Mv Victoria usirudiwe
10 years ago
Mwananchi27 Apr
TFF iwajibike kwa uzembe huu wa U-23
10 years ago
Habarileo27 Nov
17 ‘jela’ kwa uzembe maabara za Kikwete
MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.