Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF iwajibike kwa uzembe huu wa U-23

Juzi, gazeti hili liliandika habari ya kusikitisha iliyohusu timu ya Taifa ya Vijana, chini ya umri wa miaka 23 ‘Ngorongoro Heroes’ kuondolewa kwenye mchakato wa kufuzu kushiriki michezo ya Olimpiki mwakani mjini Rio de Janeiro, Brazil.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA UZEMBE HUU AJALI ZITAKWISHA KWELI?

DEREVA wa basi la Abood linalofanya safari zake Dar-Moro akijaribu kuyapita magari manne akiwa mwendo kasi katika maeneo ya Kibamba - Darajani jijini Dar leo huku mbele yake likija lori kwa kasi. Ili kuepusha ajali hiyo, ilibidi madereva wa magari yaliyokuwa mbele waingie pembezoni mwa barabara ili kulinusuru basi hilo lisigongane uso kwa uso na lori. Je, kwa hali hii ni kweli ajali zitakwisha nchini? (Picha na Global Whatsapp...

 

10 years ago

Mwananchi

Uzembe TFF waitoa U- 23 Olimpiki

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23, Ngorongoro Heroes haitashiriki michezo ya Olimpiki hadi mwaka 2020 baada ya Tanzania kushindwa kuthibitisha ushiriki wake kwenye mchakato wa kusaka nafasi hiyo Afrika ulioanza jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzembe kama huu Mv Victoria usirudiwe

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea watumiaji wanaotegemea meli ya Mv Victoria, Jumatano walipata adha ya usafiri baada ya kusitishwa kwa safari ya kuelekea Mwanza, hatua iliyochukuliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) kwamba ilitoroshwa bila kukaguliwa.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF MUDA HUU


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi anashiriki katika kongamano la Fainali za Dunia kwa Wanawake zinazofanyika Vancouver- Canada kwa siku tatu kuanzia tarehe 3 - 5 Julai mwaka huu.Katika kongamano hilo Malinzi ameambatana na katibu mkuu wa Chama cha Soka la Wanawake Tanzania (TWFA), Amina Karuma.Kongamano hilo la soka la Wanawake linahudhuriwa na nchi 209 wanachama wa FIFA, ambapo hufanyika kila baada ya miaka minne, pindi zinapofanyika fainali za Dunia kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji 15 mbaroni kwa uzembe

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watendaji wa kata 15 za Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kushindwa kuwakamata wazazi na walezi walioshindwa kuwapeleka watoto shule za sekondari. Agizo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Ubabaishaji huu TOC, TFF unaiathiri Twiga Stars

Mashindano makubwa ya Michezo ya 11 ya Afrika ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia mwezi ujao jijini Brazzaville, Kongo.

 

9 years ago

Global Publishers

Tigo yapigwa faini kwa uzembe

????????????????????????????????????

Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez

Na mwandishi Wetu
KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa kudhibiti utumaji wa ujumbe wa ulaghai na udanganyifu kwa wateja wake.

Taarifa ya faini hiyo ilitolewa hivi karibuni jijini Dar na Mkurugenzi wa TCRA, Dk. Ally Simba ambapo alisema kampuni hiyo na makampuni mengine ya simu, yameshindwa kudhibiti utumaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

17 ‘jela’ kwa uzembe maabara za Kikwete

MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yatozwa bil. 1/- kwa uzembe

KAMPUNI ya ujenzi ya Db Shapriya Co  LTD, imepewa adhabu ya kulipa sh milioni 11 kila siku  kwa siku 100 kuanzia Machi 4, mwaka huu, kutokana na kutomaliza mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani