17 ‘jela’ kwa uzembe maabara za Kikwete
MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Nov
Washushwa vyeo kwa uzembe maabara za JK
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mayanga wilayani humo kwa madai ya kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
9 years ago
Michuzi23 Oct
JELA KWA KUMTUSI KIKWETE NA RIDHIWANI
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/6G9LThnHd29Q2c2CW78CTyUZ5fK87mBjJBw5z3nIo5iZzAmUGE4ERU1RvUzVStUWh-ZHGz4twiIyjU9Yjts1ziRNYA9RB-1fgR3fuuG_GVtTOwCOAn5De4i8EBHRXw_Tna2Jx75n4ducSIGyzr_PKsvCNqfvuMsdCRPYHsocHeW44UgCvzWH=s0-d-e1-ft#http://mobile.mwananchi.co.tz/image/view/-/2925940/medRes/1155400/-/13gsam9z/-/JK+%2526+Ridhiwan.jpg?format=xhtml)
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo amesomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya mkoa Kilimanjaro,...
11 years ago
Habarileo11 Jul
Kikwete acharuka kuhusu maabara
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.
10 years ago
Habarileo14 Oct
Maabara za ‘Kikwete’ zamhamisha ofisi DC
ILI kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete la kusimamia ujenzi wa maabara katika shule za sekondari kabla ya mwishoni mwa mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawiro amelazimika kuihama kwa muda ofisi yake na kuzunguka katika shule mbalimbali wilayani mwake.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Watendaji 15 mbaroni kwa uzembe
JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watendaji wa kata 15 za Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kushindwa kuwakamata wazazi na walezi walioshindwa kuwapeleka watoto shule za sekondari. Agizo la...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
TFF iwajibike kwa uzembe huu wa U-23
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Tigo yapigwa faini kwa uzembe
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez
Na mwandishi Wetu
KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa kudhibiti utumaji wa ujumbe wa ulaghai na udanganyifu kwa wateja wake.
Taarifa ya faini hiyo ilitolewa hivi karibuni jijini Dar na Mkurugenzi wa TCRA, Dk. Ally Simba ambapo alisema kampuni hiyo na makampuni mengine ya simu, yameshindwa kudhibiti utumaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Kuwakumbuka waliokufa kwa uzembe wa watawala
Na Charles Misango WIKI hii yametokea mambo mawili makubwa hapa nchini, lakini kwa bahati mbaya hayakupewa uzito stahiki. Huko Mtwara, mamia ya wakazi wake walikuwa katika maombolezo mazito ya ndugu...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Kampuni yatozwa bil. 1/- kwa uzembe
KAMPUNI ya ujenzi ya Db Shapriya Co LTD, imepewa adhabu ya kulipa sh milioni 11 kila siku kwa siku 100 kuanzia Machi 4, mwaka huu, kutokana na kutomaliza mradi wa...