Washushwa vyeo kwa uzembe maabara za JK
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mayanga wilayani humo kwa madai ya kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Walimu wakuu Dodoma washushwa vyeo kwa kushindwa kuwajaibika
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Walimu wakuu washushwa vyeo
11 years ago
Habarileo10 Feb
Ofisa Elimu Wilaya, walimu 6 washushwa vyeo
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, amemvua madaraka kwa kumshusha cheo Ofisa Elimu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Hanji Godigodi. Godigodi anadaiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kazi na kufanya ubadhirifu wa Sh milioni 268 za maendeleo ya elimu ya sekondari wilayani humo.
10 years ago
Habarileo27 Nov
17 ‘jela’ kwa uzembe maabara za Kikwete
MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Watendaji 15 mbaroni kwa uzembe
JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watendaji wa kata 15 za Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kushindwa kuwakamata wazazi na walezi walioshindwa kuwapeleka watoto shule za sekondari. Agizo la...
5 years ago
MichuziWaziri Kigwangalla ashuhudia uvishwaji vyeo kwa Menejimenti ya NCAA.
Na Mwandishi wetu-NCAA
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshuhudia uvishwaji vyeo kwa menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ikiwa ni utekelezaji wa sheria kwa taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kujiendesha kijeshi katika usimamizi wa Rasilimali za wanyamapori.
Katika sherehe hiyo wajumbe 15 wa menejimenti ya Ngorongoro walivishwa vyeo ambapo idadi hiyo inajumuisha Naibu Makamishna wa uhifadhi wawili na Makamishna wasaidizi...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Kampuni yatozwa bil. 1/- kwa uzembe
KAMPUNI ya ujenzi ya Db Shapriya Co LTD, imepewa adhabu ya kulipa sh milioni 11 kila siku kwa siku 100 kuanzia Machi 4, mwaka huu, kutokana na kutomaliza mradi wa...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
TFF iwajibike kwa uzembe huu wa U-23
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Tigo yapigwa faini kwa uzembe
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez
Na mwandishi Wetu
KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa kudhibiti utumaji wa ujumbe wa ulaghai na udanganyifu kwa wateja wake.
Taarifa ya faini hiyo ilitolewa hivi karibuni jijini Dar na Mkurugenzi wa TCRA, Dk. Ally Simba ambapo alisema kampuni hiyo na makampuni mengine ya simu, yameshindwa kudhibiti utumaji wa...