Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wakuu washushwa vyeo

Walimu wakuu 16 wa shule za msingi mkoani hapa wameshushwa vyeo baada ya kushindwa kuwajibika vyema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Walimu wakuu Dodoma washushwa vyeo kwa kushindwa kuwajaibika

Walimu wakuu 16 wa shule za msingi mkoani hapa wameshushwa vyeo  mwaka huu baada ya kushindwa kuwajibika vyema  katika nafasi zao.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa Elimu Wilaya, walimu 6 washushwa vyeo

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, amemvua madaraka kwa kumshusha cheo Ofisa Elimu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Hanji Godigodi. Godigodi anadaiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kazi na kufanya ubadhirifu wa Sh milioni 268 za maendeleo ya elimu ya sekondari wilayani humo.

 

10 years ago

Habarileo

Washushwa vyeo kwa uzembe maabara za JK

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman NdileMKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mayanga wilayani humo kwa madai ya kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awashusha vyeo ofisa elimu, wakuu wa shule za sekondari

Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Kassim Majaliwa, ametengua uteuzi wa Ofisa Elimu ya Sekondari wa Wilaya ya Mbinga, Hanji Godigodi na wakuu sita wa shule za sekondari wilayani humo kwa tuhuma za ubadhirifu Sh60 milioni.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WAKUU KUWA BRIGEDIA JENERALI NA WENGINE MEJA JENARALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu kuwa Brigedia Jenerali na wengine kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 02 Juni, 2020.


       Miongoni mwa waliopandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali ni pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kanali (Balozi) Wilbert Augustin Ibuge na Kamishna wa Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Kanali Francis Ronald...

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Madiwani Arusha lawavaa walimu wakuu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Arusha jana lilikuja juu na kutaka kauli kutolewa juu ya ni hatua gani zichukuliwe kuhusu walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wanaowachangisha wazazi fedha kabla ya mtoto kuanza darasa la kwanza na wanaojiunga kidato cha kwanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Matokeo yawachanganya walimu wakuu Sekondari ya Ufundi Iyunga, Tambaza

Matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa juzi na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), yamewashtua walimu wakuu wa shule za sekondari za Iyunga mkoani Mbeya na Tambaza jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA

Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lyimo (Chadema) akifafanua jambo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu matatizo katika sekta ya elimu. Kushoto ni Katibu wa Bawacha, Grace Tendega. (Picha na Francis Dande)
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.

Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA SIKU SITA YA WALIMU WAKUU NA WARATIBU ELIMU KATA

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Erasmus Rugarabamu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku sita ya Walimu Wakuu Shule za Msingi na Waratibu Elimu Kata juu ya muongozo wa uendeshaji wa shule (School Management Tool Kit) pamoja na usimamizi wa ufundishaji wa kusoma, kuandika na kuhesabu leo tarehe 03 Julai 2015. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Serikali kupitia Wizara ya Elimu yanafanyika Mkoani Rukwa katika Chuo cha Ualimu Sumbawanga ambapo jumla ya washirikia 200 kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani