Ofisa Elimu Wilaya, walimu 6 washushwa vyeo
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, amemvua madaraka kwa kumshusha cheo Ofisa Elimu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Hanji Godigodi. Godigodi anadaiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kazi na kufanya ubadhirifu wa Sh milioni 268 za maendeleo ya elimu ya sekondari wilayani humo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Walimu wakuu washushwa vyeo
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Walimu wakuu Dodoma washushwa vyeo kwa kushindwa kuwajaibika
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Waziri awashusha vyeo ofisa elimu, wakuu wa shule za sekondari
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
OFISA ELIMU NYASA AWACHARUKIA WALIMU WAKUU NA MAAFISA ELIMU KATA
![](https://1.bp.blogspot.com/-kdGVxZ2sC74/XkxEfiZS6AI/AAAAAAALeGc/4VbDWTkmuhEeUyHfzWiDLzYBPaxkagCpQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_75271AA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/IMG_75321AA-1024x682.jpg)
Ofisa Elimu msingi Wilaya ya Nyasa Bw. Said Kalima akiongea na Walimu wakuu na Maafisa Elimu kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, Katika ukumbi wa Kasimu Majaliwa ulioko katika shule ya Sekondari Mbamba-bay wilayani hapa.Amewaagiza walimu hao kufundisha kwa bidii na kutomvumilia mwalimu mzembe na kupandisha ufaulu ufikie asilimia mia moja kwa Wilaya ya nyasa,kuanzia mwaka huu 2020 na kuendelea.
……………………………………………………………………………………….
Ofisa Elimu Msingi wa Wilaya ya Nyasa Said Kalima,...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Washushwa vyeo kwa uzembe maabara za JK
MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini, kutoa adhabu kali kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Madimba na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mayanga wilayani humo kwa madai ya kushindwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa maabara.
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Walimu Maswa wamkataa Ofisa Elimu
WALIMU wa shule za msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, wamemtaka mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri hiyo kumwondoa Ofisa Elimu wa Shule za Msingi wilayani humo, Mabeyo...
10 years ago
Habarileo29 Jan
Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-
OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-h0gO7sjtK70/Xk1H9HusgaI/AAAAAAALeYY/tMHmjKz2xU0hjZN4r-s_ncQXOtGTq0DGwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MAHAKAMA YAHOJI UPELELEZI WA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI OFISA ELIMU KWA UMMA LHRC
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Tito Magoti (26) na mwenzake kueleza hali ya upelelezi umefikia wapi kama unakwenda mbele au la.
Tito anashtakiwa na mwenzake mbaye ni mtaalamu wa masuala ya Tehama Theodory Gyan (36) ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha wa Sh.milioni 17,...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Shule Wilaya ya Handeni hazina nyumba za walimu