Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule Wilaya ya Handeni hazina nyumba za walimu

Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 50 ya shule katika Wilaya ya Handeni mkaoni Tanga, zina upungufu wa nyumba za kuishi walimu hasa maeneo ya nje ya wilaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Shule zote Songosongo hazina walimu wa kike

TATIZO la usafiri linalowakabili wananchi wa Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi limesababisha shule ya msingi na sekondari katika kisiwa hicho kukosa walimu wa kike.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO LEO MCHANA WILAYA YA MUHEZA AKITOKEA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA

 Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi wa Muheza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Muheza waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani TangaWananchi wa Muheza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo mchana wakimsikiliza...

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya nyumba 620 Wete Zanzibar hazina vyoo

Zaidi ya nyumba 620 za mji wa Wete visiwani Zanzibar hazina vyoo ama mfumo rasmi wa kutoa majitaka jambo ambalo linachangia vinyesi kuzagaa ovyo na kusababisha maradhi ya kipindupindu.

Hadi sasa wagonjwa 18 wanaendelea na matibabu katika kambi ya kipindupindu ambapo mtu mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa huo.

Katika zoezi la usafi kwenye Mtaa wa Kizimbani Wete eneo ambalo limetoa mgonjwa wa kwanza wa kipindupindu msimu huu,  Katibu wa baraza la mji wa Wete Mgeni Othuman Juma...

 

11 years ago

Michuzi

WILAYA YA HANDENI NA MAENDELEO YA KILIMO NA UFUGAJI

 Mmoja ya wakulima wa Mahindi Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Bw. Adalbertus Bubelwa wa pili kutoka kushoto akimwelezea Mkuu wa wilaya ya handeni Bw. Muhingo Rweyemamu, jinsi alivyoandaa shamba lake. Mkuu huyo wa wilaya alikuwa katika ziara ya kuwatembelea wakulima katika vijiji mbalimbali wilayani humo kuangalia mazao mashambani.  Mkuu wa wilaya ya Handeni Bw. Muhingo Rweyemamu, kushoto ambaye ni mwenye shamba akipata maelekezo kutoka kwa Afisa Kilimo wa Wilaya hiyo Bw. Yibarik Chiza,...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyumba za walimu zatengewa bil. 27/-

SERIKALI imetenga sh. bilioni 27 kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu lengo likiwa ni kuboresha mazingira wanayoishi walimu. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alieleza...

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba za walimu zajengwa kwa bilioni 14/-

Kassim MajaliwaSERIKALI imetoa kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) na Sekondari (MMES) Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu nchini kati ya mwaka 2009 hadi mwaka 2013.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani