Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule zote Songosongo hazina walimu wa kike

TATIZO la usafiri linalowakabili wananchi wa Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi limesababisha shule ya msingi na sekondari katika kisiwa hicho kukosa walimu wa kike.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Shule Wilaya ya Handeni hazina nyumba za walimu

Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 50 ya shule katika Wilaya ya Handeni mkaoni Tanga, zina upungufu wa nyumba za kuishi walimu hasa maeneo ya nje ya wilaya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola:Shule zote zafungwa Liberia

Rais wa Liberia ametangaza kufungwa kwa shule zote katika jitihada za kuzuia kuenea kwa Ebola.

 

10 years ago

Vijimambo

Sakata la Walimu wa Kike Kuingiliwa Sehemu zao Za Siri Kishirikina Lachukua Sura Mpya


SAKATA la walimu wa Shule ya Msingi Nambaza iliyopo Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kufanyiwa vitendo vya kishirikina wakidai kuingiliwa kimwili, kuibiwa mali na fedha, sasa limechukua sura mpya.Hali hiyo inatokana na Mkuu wa Wilaya hiyo, Joshua Mirumbe kuagiza watuhumiwa (wachawi), ambao wananchi waliwabaini kuhusika na vitendo hivyo kwa kupigiwa kura, wakamatwe haraka na kufikishwa katika vyombo vya dola.

Mirumbe alitoa agizo hilo jana ofisini kwake katika kikao ambacho...

 

5 years ago

Michuzi

SHULE ZOTE NA VYUO KUENDELEA KUFUNGWA – MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID - 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

====   =====  ====

*Sherehe za Muungano, Mei Mosi zaahirishwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Shule zote Los Angeles zafungwa ghafla

Shule zote za uma katika jimbo Los Angeles Marekani zimefungwa mara moja kufuatia tishio la usalama.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi: Pelekeni watoto wa kike shule

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisamiliana na Regina Lowassa wakati akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maasai wilayani Monduli mkoani Arusha juzi, kuongoza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Wa pili kulia ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya kifugaji na waokota matunda kote nchini, kufanya mapinduzi makubwa ya elimu kwa mtoto wa kike wa jamii hiyo na kuondokana na mila potofu za kuwazuia watoto hao kwenda shule.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rwanda imefunga shule zote kudhibiti virusi

Rwanda imefunga shule zote pamoja na maeneo ya kuabudu kuanzia leo baada ya kuthibitisha kisa cha kwanza cha corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais Magufuli atangaza kufungua shule zote Juni, 29

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametangaza shule zote zilizokuwa zimefungwa na shughuli zote zilizokuwa zimezuiwa kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi vya corona zitafunguliwa Juni, 29.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yatangaza kufunga shule zote kwa siku 30

Tanzania yatangaza kufunga shule zote kuanzia shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani