Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE ZOTE NA VYUO KUENDELEA KUFUNGWA – MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kwenye kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa Mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu (COVID - 19), kilichofanyika katika, ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

====   =====  ====

*Sherehe za Muungano, Mei Mosi zaahirishwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SHULE, VYUO KUENDELEA KUFUNGWA, SHEREHE ZA MEI MOSI, MUUNGANO ZAAHIRISHWA KUTOKANA NA BALAA LA CORONA

MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na vya elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi hapo Serikali itakapotoa tamko jingine.
Pia, Waziri Mkuu amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi (Aprili 26) pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ili kuepuka msongamano na kuendelea kuzuia virusi vya corona visisambae zaidi. 
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shule nchini Uganda kuendelea kufungwa kwa mwezi mmoja zaidi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa Shule, makanisa, misikiti, vilabu, vilabu vya usiku, maeneo ya kufanyia mazoezi na saluni za urembo zitaendelea kufungwa ili kuepuka maambukizi ya virusi vya corona.

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

Tanzania Daima

St. Bernard kuendelea kufungwa

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema hawatoifungulia Hospitali ya St. Bernard iliyopo Kariakoo jijini Dar es Salaam hadi itakapofanya marekebisho waliyoagizwa. Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki nchini Ugiriki kuendelea kufungwa

Benki na masoko ya hisa nchini Ugiriki yataendelea kufungwa kwa muda usiotajwa huku mitaji ikidhibitiwa

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

9 years ago

Mwananchi

Majaliwa: Serikali itatekeleza ahadi zote

Serikali ya Awamu ya Tano imesema itatekeleza ahadi zote zilizotolewa kwa wananchi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu na kwamba watafanya hivyo kwa kutumia fedha zinazoendelea kukusanywa kwa kutumbua majipu na vyanzo vingine vya mapato.

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALALAMIKIA USAFIRI BAADA YA VYUO KUFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Charles James, Globu ya Jamii
WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu na vya kati jijini Dodoma wameishukuru serikali kwa kufunga vyuo hivyo ili kuondoa msongamano katika maeneo yao ya vyuo unaoweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
Wakizungumza na Michuzi leo jijini Dodoma wanafunzi hao wamesema kuwa ikitokea mmoja wao amekumbwa na virusi vya corona ingeweza  kusambaa kwa kasi kubwa na kupelekea maambukizi kuenea kwa haraka zaidi hivyo serikali imefanya jambo la busara kufunga vyuo na...

 

10 years ago

Habarileo

SMZ kuendelea kuimarisha ubora wa vyuo vikuu

Dk SheinRAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea na wajibu wake wa kuhakikisha kuwepo kwa mazingira mazuri na fursa za kutosha za elimu kwa kuimarisha ubora wa vyuo vikuu viliopo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani