Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata la Walimu wa Kike Kuingiliwa Sehemu zao Za Siri Kishirikina Lachukua Sura Mpya


SAKATA la walimu wa Shule ya Msingi Nambaza iliyopo Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kufanyiwa vitendo vya kishirikina wakidai kuingiliwa kimwili, kuibiwa mali na fedha, sasa limechukua sura mpya.Hali hiyo inatokana na Mkuu wa Wilaya hiyo, Joshua Mirumbe kuagiza watuhumiwa (wachawi), ambao wananchi waliwabaini kuhusika na vitendo hivyo kwa kupigiwa kura, wakamatwe haraka na kufikishwa katika vyombo vya dola.

Mirumbe alitoa agizo hilo jana ofisini kwake katika kikao ambacho...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sakata la Kaseja na Yanga lachukua sura mpya

Na Ripota wa Globu ya Jamii,Dar
Sakata la mlinda mlango Juma Kaseja na waajiri wake Yanga limechukua sura mpya baada ya kutakiwa kumalizana nje ya mahakama.
Kesi hiyo ambayo iliendelea leo katika Mahakama ya Kazi baada ya Februari 12 kuahirishwa kutokana na wakili anayemsimia mlinda mlango huyo Samson Mbamba kuunguliwa ofisi yake ambapo nyaraka mbali mbali zikiwemo za Kaseja kuungua na kuomba kupewa upya nyaraka nyingine na kesi hiyo kuendelea leo.
Kesi hiyo ambayo inasuluhishwa na Muheshimiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

MADAI: Sakata la Rais CBE lachukua sura mpya

>Sakata la Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar es Salaam, Ramadhan Kilungi kudaiwa kughushi saini na kuiba Sh32 milioni katika akaunti ya Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho (Cobeso), limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wanafunzi kudai kuwa utawala wa chuo hicho unahusika.

 

11 years ago

Mwananchi

Sura mpya ya sakata la Uda

Sakata la nani mmiliki halali wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), limeendelea kuchukua sura mpya. Wakati Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu akitoa tuhuma kwamba limeuzwa kinyemela, Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Simon Group, Robert Kisena ameibuka na kudai kuwa halikuwahi kuuzwa.

 

10 years ago

Mtanzania

TPA yaonya shughuli zao kuingiliwa

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema ni kinyume cha sheria namba 17 ya Bandari ya mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila kibali chao.

Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa za kupotosha kuwa shughuli za TPA katika eneo la Mwambani zitafanywa na Kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC).

Taarifa hizo zilihusisha mradi huo na shughuli za MWAPORC kuwa TPA...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Davido a-share picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura

Ukiachilia mbali Diamond Platnumz wa Tanzania na rapper AKA wa Afrika Kusini, Davido ni staa mwingine wa Afrika aliyepata mtoto hivi karibuni na anajivunia kuwa BABA. Davido na mama wa mwanaye Davido ambaye ni miezi mitatu imepita toka apate mtoto wa kike, amekuwa akishare na followers wake picha za mwanaye, ikiashiria kuwa ni jinsi gani […]

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani