Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi: Pelekeni watoto wa kike shule

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisamiliana na Regina Lowassa wakati akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maasai wilayani Monduli mkoani Arusha juzi, kuongoza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Wa pili kulia ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya kifugaji na waokota matunda kote nchini, kufanya mapinduzi makubwa ya elimu kwa mtoto wa kike wa jamii hiyo na kuondokana na mila potofu za kuwazuia watoto hao kwenda shule.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Pelekeni watoto shule za seminari’

WAZAZI na walezi mkoani Mtwara, wametakiwa kuwapeleka watoto wao kwenye shule za seminari ili wapate elimu bora na maadili mema yatakayowasaidia maishani, kwa vile siku hizi wototo wengi hawana maadili....

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wazazi pelekeni watoto vyuo vya ufundi’

WAZAZI na walezi wametakiwa kuwapeleka watoto wao waliohitimu kidato cha nne katika vyuo mbalimbali vikiwemo  vya ufundi na utalii, ili kuwaongezea utaalamu zaidi. Kauli hiyo ilitolewa jana na Diwani  wa...

 

10 years ago

Michuzi

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA NA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WATOTO WA KIKE WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO

Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es salaam, ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii.Caroline ambaye ndiye aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania 2014 ataendelea kulitumikia taji lake kama mrembo mtawazwa ingawa alishindwa kwenda kushindana kimataifa kutokana na sababu za kiafya. Caroline alishindwa kwenda kushiriki kwenye mashindano ya...

 

9 years ago

Vijimambo

BUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.

Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.

Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

BUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao  cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Habarileo

Shule zote Songosongo hazina walimu wa kike

TATIZO la usafiri linalowakabili wananchi wa Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi limesababisha shule ya msingi na sekondari katika kisiwa hicho kukosa walimu wa kike.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa kike wanahitaji kusikilizwa

Malezi kwa mtoto wa kike yamekuwa yakitofautiana kadiri ya umri. Anapokuwa mdogo hupata malezi yanayofanana na mtoto wa kiume, lakini anapofika umri wa balehe, mtoto wa kike uhitaji uangalizi maalumu.

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAWILI WA KIKE WABAKWA

Stori:  Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem, jijini Dar, kijana aliyefahamika kwa jina moja la Robert alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa baada ya kumnywesha bia na baadaye kumchoma kwa kisu chenye moto katika harakati za kulazimisha kitendo...

 

11 years ago

Habarileo

Hofu ya wizi wa watoto wa kike

HOFU kubwa imetanda Manispaa ya Sumbawanga kwa wazazi wenye watoto wadogo wa kike, kutokana na taarifa zilizozagaa za kuwepo kwa watu wanaodaiwa kuiba watoto wadogo wa kike na kuwauza kusikojulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani