Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hofu ya wizi wa watoto wa kike

HOFU kubwa imetanda Manispaa ya Sumbawanga kwa wazazi wenye watoto wadogo wa kike, kutokana na taarifa zilizozagaa za kuwepo kwa watu wanaodaiwa kuiba watoto wadogo wa kike na kuwauza kusikojulikana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

NEC yavitoa hofu vyama wizi wa kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitoa wasiwasi vyama vya siasa kuwa hakutakuwepo na wizi na udanganyifu wa kura katika matokeo ya uchagauzi wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika nchini kote Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR

Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa kike wanahitaji kusikilizwa

Malezi kwa mtoto wa kike yamekuwa yakitofautiana kadiri ya umri. Anapokuwa mdogo hupata malezi yanayofanana na mtoto wa kiume, lakini anapofika umri wa balehe, mtoto wa kike uhitaji uangalizi maalumu.

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAWILI WA KIKE WABAKWA

Stori:  Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem, jijini Dar, kijana aliyefahamika kwa jina moja la Robert alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa baada ya kumnywesha bia na baadaye kumchoma kwa kisu chenye moto katika harakati za kulazimisha kitendo...

 

10 years ago

GPL

WIZI WA WATOTO WATIKISA MORO

Dustan Shekidele, Morogoro
WIZI wa watoto unazidi kutikisa mkoani hapa ambapo baada ya mwanamke Martha Masawe kuibiwa mwanaye mchanga katika Kliniki ya Nunge Ijumaa iliyopita, Wema Joseph (pichani), mkazi wa Manzese naye ameangua kilio hadharani baada ya kuibiwa mwanaye wa kike aitwaye Elizabeth mwenye umri wa miaka miwili. Mtot Elizabeth aliyedaiwa kuibiwa. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea kwenye saluni ya kike ambayo ipo...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi: Pelekeni watoto wa kike shule

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisamiliana na Regina Lowassa wakati akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maasai wilayani Monduli mkoani Arusha juzi, kuongoza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Wa pili kulia ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya kifugaji na waokota matunda kote nchini, kufanya mapinduzi makubwa ya elimu kwa mtoto wa kike wa jamii hiyo na kuondokana na mila potofu za kuwazuia watoto hao kwenda shule.

 

10 years ago

Habarileo

Taharuki yatanda wizi wa watoto Dar

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaTAARIFA za kuwepo watu wanaoteka na kuua watoto wadogo zimesababisha taharuki kubwa katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, hali ambayo mamlaka zinazohusika na usalama wa raia, zimeombwa kueleza undani wa matukio hayo.

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

11 years ago

Mwananchi

Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametoa wito kwa jamii nchini kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na changamoto za maisha na kuacha kujiingiza kwenye vitendo viovu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani