Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO WAWILI WA KIKE WABAKWA

Stori:  Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem, jijini Dar, kijana aliyefahamika kwa jina moja la Robert alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa baada ya kumnywesha bia na baadaye kumchoma kwa kisu chenye moto katika harakati za kulazimisha kitendo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watoto wabakwa, walawitiwa, watobolewa macho

VITENDO vya ukatili kwa watoto ni changamoto kubwa katika Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa kutokana na kuripotiwa watoto 140 waliobakwa, kutobolewa macho, kulawitiwa, kutelekezwa na wengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

GPL

WATOTO WATATU WABAKWA KWA ZAMU!

Stori:Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Inaumiza kusikia! Watoto watatu ambao ni majirani wamejikuta wakiingia kwenye kadhia ya kubakwa kwa zamu na watoto wenzao ambapo mmoja anadaiwa kuwa na umri wa miaka 17 huku mwingine akiwa na umri wa miaka 14 ambaye pia ni denti wa darasa la nne. Watoto watatu wadogo waliobakwa kwa zamu na watoto wenzao. Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni maeneo ya Mbagala-Mianzini...

 

5 years ago

BBCSwahili

Watoto wenye miaka mitatu na minne wabakwa Somalia

Binamu wawili walivamiwa na wabakaji wakati wakirejea kutoka shule na sasa wanahitaji kufanyiwa upasuaji mkubwa.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa kike wanahitaji kusikilizwa

Malezi kwa mtoto wa kike yamekuwa yakitofautiana kadiri ya umri. Anapokuwa mdogo hupata malezi yanayofanana na mtoto wa kiume, lakini anapofika umri wa balehe, mtoto wa kike uhitaji uangalizi maalumu.

 

11 years ago

Habarileo

Hofu ya wizi wa watoto wa kike

HOFU kubwa imetanda Manispaa ya Sumbawanga kwa wazazi wenye watoto wadogo wa kike, kutokana na taarifa zilizozagaa za kuwepo kwa watu wanaodaiwa kuiba watoto wadogo wa kike na kuwauza kusikojulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinyi: Pelekeni watoto wa kike shule

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akisamiliana na Regina Lowassa wakati akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Maasai wilayani Monduli mkoani Arusha juzi, kuongoza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwake. Wa pili kulia ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya kifugaji na waokota matunda kote nchini, kufanya mapinduzi makubwa ya elimu kwa mtoto wa kike wa jamii hiyo na kuondokana na mila potofu za kuwazuia watoto hao kwenda shule.

 

11 years ago

Mwananchi

Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametoa wito kwa jamii nchini kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na changamoto za maisha na kuacha kujiingiza kwenye vitendo viovu.

 

9 years ago

StarTV

Wazazi, walezi waaswa kuwasomesha watoto Wa Kike Kigoma

Wazazi na walezi nchini wamekumbushwa umuhimu wa kumuwezesha mtoto wa kike kupata elimu sawa na wa kiume jambo litakalosaidia kundi hilo kutumia fursa zinazoendela kujitokeza kujiletea maendeleo yao binafsi, familia na Taifa kwa ujumla.

Aidha kasi ya sasa ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi yanalifanya suala la elimu kuwa jambo  linalohitajika zaidi kupewa kipaumbele kwa  ustawi wa Taifa lolote duniani.

Hayo yamebaniishwa   katika mahafari ya kwanza ya kidaoto cha nne kwa shule ya sekondari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani