Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZI WA WATOTO WATIKISA MORO

Dustan Shekidele, Morogoro
WIZI wa watoto unazidi kutikisa mkoani hapa ambapo baada ya mwanamke Martha Masawe kuibiwa mwanaye mchanga katika Kliniki ya Nunge Ijumaa iliyopita, Wema Joseph (pichani), mkazi wa Manzese naye ameangua kilio hadharani baada ya kuibiwa mwanaye wa kike aitwaye Elizabeth mwenye umri wa miaka miwili. Mtot Elizabeth aliyedaiwa kuibiwa. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea kwenye saluni ya kike ambayo ipo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wizi watikisa Bunge

MASHINE ya kurushia matangazo ya moja kwa moja na kuchanganya picha, imeibiwa ndani ya ukumbi wa jengo la Bunge katika mazingira ya kutatanisha, Tanzania Daima limebaini. Mashine hiyo (Mixer), mali...

 

10 years ago

Mtanzania

Barnaba, Stamina watikisa Moro

barnabaNA LILIAN JUSTICE, MOROGORO
WASANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Elias Barnaba, Rich Mavoko, Golden Mbunda ‘Godzilla’ na Boniventura Kabobo ‘Stamina’, juzi walipagawisha katika tamasha la pongezi kwa Mbunge wa Jimbo wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri.
Katika hotuba yake, Abood aliahidi kuunganisha wasanii wa kizazi kipya ili watumie sanaa yao kutoa burudani na elimu kwa mashabiki wao.
Abood aliongeza kwamba, tukio hilo limempa faraja kwa kutambulika...

 

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandao nchini watikisa sekta ya utalii

Wizi na utapeli kwa njia ya mtandao, umeanza kuitikisa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha baada ya wahalifu wa kimataifa kuingilia mawasiliano ya baruapepe (emails) za mawakala wa utalii.

 

10 years ago

GPL

UTEKAJI WATOTO WATIKISA DAR

Stori: Makongoro Oging’
MUNGU wangu! Lile sakata la utekaji na upoteaji wa watoto ambao wengi ni wanafunzi wa shule za msingi katika Jiji la Dar na kudaiwa linafanywa na watu walio kwenye magari aina ya Toyota Noah limeingia katika sura nyingine. Wanafunzi wa shule ya msingi wakitoka madarasani baada kutokea kwa hali ya vurugu. Safari hii, gari moja lilitupiwa mawe na dereva nusura kuuawa kufuatia kufika katika Shule...

 

11 years ago

Habarileo

Hofu ya wizi wa watoto wa kike

HOFU kubwa imetanda Manispaa ya Sumbawanga kwa wazazi wenye watoto wadogo wa kike, kutokana na taarifa zilizozagaa za kuwepo kwa watu wanaodaiwa kuiba watoto wadogo wa kike na kuwauza kusikojulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Taharuki yatanda wizi wa watoto Dar

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaTAARIFA za kuwepo watu wanaoteka na kuua watoto wadogo zimesababisha taharuki kubwa katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, hali ambayo mamlaka zinazohusika na usalama wa raia, zimeombwa kueleza undani wa matukio hayo.

 

11 years ago

GPL

SANGOMA ANASWA KWA WIZI WA WATOTO

Na Waandishi Wetu
MGANGA wa kienyeji ‘Sangoma’aitwaye Ramadhani Issa (20) amedaiwa kuwatorosha watoto wawili, Salim Swalehe(13) na Laurent Oscar (13) wanaosoma katika Shule ya Msingi ya Pamba jijini hapa.
Tukio hilo limetokea Januari 20, mwaka huu katika kitongoji cha Ujaluoni, Igogo jijini hapa baada ya watoto hao kutoonekana kwa mwezi mzima tangu Desemba 27, mwaka jana. Inadaiwa kwamba watoto hao walirudi makwao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto Moro wahitaji ulinzi zaidi

WATOTO wanaoishi katika mazingira magumu katika Manispaa ya Morogoro, wameandamana mjini hapa wakishinikiza kupatiwa ulinzi wa kutosha. Watoto hao walitoa ombi hilo juzi, baada ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zaua watoto watano, barabara zafungwa Moro

>Watoto watano wamekufa maji katika maeneo mbalimbali mkoani Morogoro na mwingine Dar es Salaam jana baada ya kutumbukia kwenye mito na mashimo yaliyofurika maji ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani