Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JELA KWA KUMTUSI KIKWETE NA RIDHIWANI


 Rais Kikwete (Kushoto) na Ridhiwan Kikwete (Kulia).
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.
Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo amesomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya mkoa Kilimanjaro,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi jela kwa kumtusi rais Kenya

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kumtusi Rais Kikwete,Ridhiwan

Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), leo amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.

 

11 years ago

Michuzi

NAPE AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KWA WANA CHALINZE

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea Ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete ambapo wananchi hao walielezwa kitendo cha kuzuiwa kupiga kura ni sawa na ubakaji wa Demokrasia na CCM itakula sambamba na wabakaji wa Demokrasia.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndiye Mratibu wa kampeni za mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akionyesha...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
Na John Bukuku   Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na  Msimamizi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete awashukuru Wanachalinze kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza

1

Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).

3

Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete atoa msaada kwa Jeshi la Polisi Chalinze

1A

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na uongozi wa polisi Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Kipolisi ya Chalinze pamoja na wananchi waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali kwa jeshi hilo zikiwemo kompyuta, mifuko ya Saruji pamoja na fedha vilivyotolewa na mbunge huyo, Kwa ajili ya kutatua matatizo mbalimbali yanayolikabili jeshi la polisi katika utekelezaji wa majukumu yake ya ulizni na usalama wa raia na mali zao. Pamoja na kukabidhi kompyuta hizo...

 

10 years ago

Michuzi

Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika - Ridhiwani Kikwete



Ridhiwani Kikiwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu  kuhusu malengo ya maendelo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Mhe. Ridhiwani Kikwete.Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa Mataifa hivi karibuni, mbunge huyo wa Chalinze mkoani Pwani anasema licha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika: Ridhiwani Kikwete

Ridhiwani Kikiwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)
Ridhiwani Kikwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu kuhusu malengo ya maendeleo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Ridhiwani Kikwete.Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani