Ridhiwani Kikwete atoa msaada kwa Jeshi la Polisi Chalinze
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na uongozi wa polisi Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Kipolisi ya Chalinze pamoja na wananchi waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali kwa jeshi hilo zikiwemo kompyuta, mifuko ya Saruji pamoja na fedha vilivyotolewa na mbunge huyo, Kwa ajili ya kutatua matatizo mbalimbali yanayolikabili jeshi la polisi katika utekelezaji wa majukumu yake ya ulizni na usalama wa raia na mali zao. Pamoja na kukabidhi kompyuta hizo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi18 Jul
MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUFANYA MAMBO JIMBO LA CHALINZE, SAFARI HII NI ZAMU YA JESHI LA POLISI

11 years ago
GPL
MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUFANYA MAMBO JIMBO LA CHALINZE, SAFARI HII NI ZAMU YA JESHI LA POLISI
11 years ago
Michuzi
NAPE AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KWA WANA CHALINZE


11 years ago
Michuzi
RIDHIWANI KIKWETE AANZA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE


11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE

Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
Ridhiwani Kikwete apita kwa kishindo uchaguzi mdogo Chalinze

Ridhiwani Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura mjini Chalinze jana.
NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE
Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo na kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo ya uchaguzi huo yanaonyesha Ridhiwani ameongoza akifuatiwa na CHADEMA ,CUF,NRA na ASP.
Matokeo hayo...