Kortini kwa kumtusi Rais Kikwete,Ridhiwan
Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), leo amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi23 Oct
JELA KWA KUMTUSI KIKWETE NA RIDHIWANI
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/6G9LThnHd29Q2c2CW78CTyUZ5fK87mBjJBw5z3nIo5iZzAmUGE4ERU1RvUzVStUWh-ZHGz4twiIyjU9Yjts1ziRNYA9RB-1fgR3fuuG_GVtTOwCOAn5De4i8EBHRXw_Tna2Jx75n4ducSIGyzr_PKsvCNqfvuMsdCRPYHsocHeW44UgCvzWH=s0-d-e1-ft#http://mobile.mwananchi.co.tz/image/view/-/2925940/medRes/1155400/-/13gsam9z/-/JK+%2526+Ridhiwan.jpg?format=xhtml)
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo amesomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya mkoa Kilimanjaro,...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Gwajima akana kortini kumtusi Kardinali Pengo
11 years ago
BBCSwahili01 May
Mahakamani kwa kumtusi Rais Kenya
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mwanafunzi jela kwa kumtusi rais Kenya
9 years ago
StarTV18 Sep
Ridhiwan Kikwete aahidi kuleta maendeleo akichaguliwa
Mgombea ubunge katika jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM Ridhiwan Kikwete amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichotumikia ubunge amefanikiwa kutatua kero mbalimbali za kijamii katika jimbo hilo
Amesema pamoja na jitihada aliyofanya kwa kipindi cha mwaka mmoja bado kuna changamoto ambazo zinahitaji kumalizwa hivyo amewaomba wananchi wa jimbo la Chalinze kumwamini kwa kumpa kura ili kutimiza lengo la kuwaletea maendeleo.
Riziwani ameyasema hayo wakati akizindua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tCSdI3l-WDw/XuD6j633UqI/AAAAAAALtZw/3pmQXkwwTQMWFYHKXt4eWU2SVm2lraYUQCLcBGAsYHQ/s72-c/da351-ridhiwani2bkikwete2beyopah.jpg)
RIDHIWAN KIKWETE ATAKA KUHAKISHIWA USALAMA WA MIFUGO KABLA YA KUPELEKWA MAHAKAMANI
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani Ridhiwan Kikwete ametaka ufafanuzi kuhusu usalama wa mifugo ambayo itakamatwa baada ya kuingia kwenye maeneo ya hifadhi kabla ya kesi kuanza Mahakamani.
Akizungumza leo Juni 10,2020,Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kuchangia muswada wa marekebisha ya sheria mbalimbali ambao umewasilishwa bungeni hapo na moja marekebisho hayo inahusu Wanyamapori na Uhifadhi.
"Kwanza naomba nianze kwa kukupongeza Naibu Spika Dk.Tulia Acksoni...
9 years ago
MichuziMHE. RIDHIWAN KIKWETE AVUNJA UKIMYA, AZUNGUMZIA MAKONTENA NA MALI ANAZODAIWA KUMILIKI..
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia na dhamira mbaya dhidi yangu na hata familia yangu.
Hivi...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Mbunge wa jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwan Kikwete avunja ukimya, afafanua ‘figisufigisu’ dhidi yake!!
![Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza alipokuwa akifanyiwa mahojiano maalumu na gazeti la Mwananchi, mjini Dodoma hivi karibuni. Picha na Edwin Mjwahuzi](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/Kikwete-pc.jpg)
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Picha ya Maktaba.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia na dhamira mbaya dhidi yangu na hata familia...
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Watano Kortini Kwa Kumdhalilisha Rais Magufuli
![magufuli](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/09/MAGUFULI.jpg)