Watano Kortini Kwa Kumdhalilisha Rais Magufuli
Rais Dk. John Magufuli.
VIJANA watano wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhalilisha Rais Dk. John Magufuli na Jeshi la Polisi kutokana na mauaji ya askari polisi wanne waliouawa na majambazi katika eneo la Mbande na Vikindu, Dar es Salaam hivi karibuni.
Washtakiwa hao walifikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam mbele ya mahakimu watano tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali, Salum Mohammed.
Walisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Mar
5 kortini kwa kumdhalilisha askari polisi
WAFANYABIASHARA watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na kumsababishia maumivu makali mwilini.
11 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Watano kortini kwa tuhuma za ubakaji
NA PETER KATULANDA, MAGU
MWENYEKITI wa CCM Kata ya Mwamanyili wilayani Busega, Simiyu, Ramadhani Msoka na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka mawili ya unyang’anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Washitakiwa hao akiwemo Mshauri wa Mahakama ya Mwanzo ya Nyashimo wilayani humo, Libent Rwegarulila, ambaye ni mshitakiwa namba moja, walisomewa mashitaka hayo juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Magu, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Robert Masige.
Awali, Msoka na...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Watano kortini wakidaiwa kumuua ofisa wa usalama
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Serikali imejiaibisha kwa kumdhalilisha Warioba
SERIKALI imejiaibisha kwa kutoa madai dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba. Imemdhalilisha si yeye tu, bali wajumbe wa tume na Rais...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Jela maisha kwa kumdhalilisha mtoto
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, imemhukumu Athuman Mussa (54), mkazi wa Mtaa wa Nsemlwa Mjini, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumwingizia uume mdomoni...
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Kortini kwa kumtusi Rais Kikwete,Ridhiwan
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA KWA SIMU NA RAIS MTEULE WA BURUNDI, LEO

Rais Dk. John Magufuli amezungumza kwa njia ya simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kwa uamuzi wa Mahakama ya Katiba nchini Burundi iliyoagiza Rais Mteule aapishwe haraka.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amemtakia heri Rais Mteule Ndayishimiye kuelekea kuapishwa kwake kuwa Rais wa Burundi kutakakofanyika hivi karibuni.
Rais Magufuli amemhakikishia Rais Mteule Ndayishimiye kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi kwa Rais Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India. Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya...