Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakamani kwa kumtusi Rais Kenya

Mwanasiasa mmoja nchini Kenya ameshitakiwa kwa kosa la kumtusi Rais Uhuru Kenyatta katika mkutano wa kisiasa uliofanyika 2013

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi jela kwa kumtusi rais Kenya

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kumtusi Rais Kikwete,Ridhiwan

Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), leo amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wezi wa gari la Rais Kenya mahakamani

Watu 5 akiwemo raia 1 Uganda pamoja na fundi wa magari mkenya wamekamatwa kwa wizi wa gari la msafara wa ulinzi wa Rais Kenyatta

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa waziri mahakamani kwa ufisadi Kenya

Amos Kimunya ameshitakiwa kwa kosa la kutumia vibaya mamlaka pamoja na kujipatia ardhi ya umma kinyume na sheria.

 

9 years ago

Michuzi

JELA KWA KUMTUSI KIKWETE NA RIDHIWANI


 Rais Kikwete (Kushoto) na Ridhiwan Kikwete (Kulia).
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.
Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo amesomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya mkoa Kilimanjaro,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa kufikishwa mahakamani Kenya

Watu wawili waliopatikana na mabomu mjini Mombasa Pwani ya Kenya, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa MRC mahakamani Kenya

Kiongozi wa kundi lilalotaka kujitenga Pwani yaKenya, ameshtakiwa kwa kosa la kuandaa mkutano wa hadhara bila kibali na pia kwa kutatiza amani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waliowateka ONLF mahakamani Kenya

Polisi 2 nchini Kenya waliofikishwa mahakamani kwa kosa la kuwateka nyara maafisa wawili wakuu wa vuguvugu la ONLF la Ethiopia, wameachiliwa kwa dhamana ya dola elfu 23.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani