Watuhumiwa kufikishwa mahakamani Kenya
Watu wawili waliopatikana na mabomu mjini Mombasa Pwani ya Kenya, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Wanahabari kufikishwa mahakamani Misri
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Makonda sasa kufikishwa mahakamani
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ametangaza kumfikisha mahakamani Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, baada ya kushindwa kuomba radhi kutokana na kashfa alizozitoa dhidi yao.
Guninita alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wake na waandishi wa habari,uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Makonda kuandikiwa barua Februari 12 mwaka...
5 years ago
CCM Blog
RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.
"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Madiwani waliofanya vurugu Tanga kufikishwa Mahakamani
11 years ago
Vijimambo31 Oct
NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...
5 years ago
Michuzi
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Polisi sita watuhumiwa mauaji wafikishwa mahakamani
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
ASKARI sita waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhusishwa na mauaji ya wafanyabiashara, jana wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia.
Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.
Mbele ya Hakimu Simba, Wakili wa Serikali Mkuu, Mutalemwa Kisheni, aliwataja washtakiwa kuwa ni Inspekta Bon Mbange mkazi wa Magomeni, F 919 Sajenti Filbert Nemes na Askari wa Kikosi cha Kuzuia...
10 years ago
StarTV15 Jan
TAKUKURU yawafikisha mahakamani watuhumiwa wawili wa ESCROW.
Na Lilian Mtono.
Dar es Salaam.
Tume ya kupambana na kuzuia rushwa, TAKUKURU kwa mara ya kwanza imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wanaohusishwa na kashfa ya wizi wa zaidi ya shilingi Bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Watuhumiwa hao walifikishwa kwenye mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam, ambapo kila mmoja anakabiliwa na shitaka moja la kula rushwa.
Mshitakiwa wa kwanza kupandishwa kizimbani alikuwa ni Bwana Theophilo John Bwakea, ambaye inadaiwa kuwa...