RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-oOHmo8VfZss/XpH8Ca8h3tI/AAAAAAABnHw/hTo_aGa6umo5HbMFztUpz0WmTH7EGj2CACLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpg)
Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali ya kunawa mikono kujikinga na corona.
Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.
"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Makonda sasa kufikishwa mahakamani
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ametangaza kumfikisha mahakamani Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, baada ya kushindwa kuomba radhi kutokana na kashfa alizozitoa dhidi yao.
Guninita alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wake na waandishi wa habari,uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Makonda kuandikiwa barua Februari 12 mwaka...
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Wanahabari kufikishwa mahakamani Misri
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Watuhumiwa kufikishwa mahakamani Kenya
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo
10 years ago
Vijimambo31 Oct
NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI
![Nurse Kaci Hickox rides away from the home she is staying in on a rural road in Fort Kent, Maine, to take a bike ride, Thursday, Oct. 30, 2014. Hickox went on an hour-long ride with her boyfriend Ted Wilbur, followed by state police who were monitoring her movements and public interactions.](http://www.theday.com/apps/pbcsi.dll/storyimage/NL/20141030/NWS13/141039991/AR/0/AR-141039991.jpg)
Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Madiwani waliofanya vurugu Tanga kufikishwa Mahakamani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6xuxflMu0eM/XtehP8UrreI/AAAAAAALsfM/fTxjP0G-76kD8phVO2GOYZSmlO6p0j-MQCLcBGAsYHQ/s72-c/tanzania-tra-pccb.gif)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Wanajeshi mahakamani kwa mauaji ya raia Mbeya