Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi mahakamani kwa mauaji ya raia Mbeya

Wanajeshi wanne wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa Kikosi cha 44KJ, Mbalizi mkoani hapa wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Petro Sanga, mkazi wa Mbalizi, juzi walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya Mbeya Mjini na kusomewa maelezo ya mashahidi 13 pamoja na vielelezo sita dhidi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa?

Tokea atangeze kujiondoa ccm na kujiunga chama cha democrasia na maendeleo( Chadema)Mh Edward Luwassa ,imekua kasakamwa na wanafiki wa chama tawala na kulikuza swala la richmon mama vile yeye ni mtuhumiwa pekee ndani ya ccm alokua […]

The post Jee ni yupi wakupelekwa mahakamani tena (The hague) Mkapa alofanya mauaji ya raia wasio na hatia au Mtuhumiwa Luwassa? appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Walinzi mahakamani kwa mauaji ya mchimbaji mdogo

WALINZI watatu wa Kampuni ya TanzaniteOne wamefikishwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Manyara, wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya mchimbaji mdogo wa madini ya tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi waliowaua raia harusini mashakani

Kiongozi mkuu wa jeshi la muungano wa Afrika linalohudumu nchini Somalia, anasema kuwa wanajeshi watatu wa kikosi hicho wameshtakiwa kuhusiana na mauaji ya mwezi uliopita ya kundi moja la raia.

 

5 years ago

CCM Blog

POLISI MBEYA YAMSAKA MWAKIFUNA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linafanya msako mkali kumtafuta HAKIMU JAMES MWAKIFUNA miaka [20] Mnyakusa wa Kiwira kwa kosa la Mauaji ya makusudi ya bibi JUNE SANKANYE miaka [65] wa kijiji cha Nkunga Kata ya Nkunga  {T} Ukukwe.
Tukio hili lilitokea tarehe 23/04/2020 saa 05:00 Wilaya ya Rungwe.  Marehemu ambaye ni bibi mzaa baba wa mtuhumiwa walilala nyumba moja.  Huku mtuhumiwa akiwa sebuleni na marehemu amelala chumbani.   
Usiku muda usiojulikana HAKIMU JAMES MWAKIFUNA alichukua kitu chenye...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.

"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia yaomboleza mauaji ya wanajeshi

Tunisia imesema wanajeshi wake 14 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika shambulizi la wanamgambo karibu na mpaka na Algeria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Syria yasema mauaji ya wanajeshi ni uchokozi

Serikali ya Syria imesema shambulio lililotekelezwa mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanajeshi wake watatu ni uchokozi.

 

9 years ago

Michuzi

Raia wanne wa China wahukumiwa kutumikia miaka 20 jela kila mmoja kwa Uhujumu uchumi mkoani Mbeya


 Washatkiwa  wanne wa China wakipanda karandinga baada ya kuhukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Zaidi ya shilingi bilioni 10 baada ya kukutwa na makosa matatu ya kuhujumu uchumi. Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Msangi akiwa na maafisa wake pamoj na Pembe za Faru walizokamatwa nazo  rai wanne wa China katika mpaka wa Kasumulu wilayani  Kyela mkoani Mbeya.Raia wanne wa China ambao wamehukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani