Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walinzi mahakamani kwa mauaji ya mchimbaji mdogo

WALINZI watatu wa Kampuni ya TanzaniteOne wamefikishwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Manyara, wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya mchimbaji mdogo wa madini ya tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Serikali yamlipa mchimbaji mdogo zaidi ya Bilioni 7.74 kwa madini yake ya Tanzanite


Mchimbaji mdogo wa madini, Saniniu Kurian Laizer, akimkabidhi waziri wa madini Dotto Biteko mawe ya Tanzanite yenye thamani ya zaidi ya  Shilingi Bilioni 7.74 katika hafla fupi iliyofanyika Mirerani.Pichani kati ni Naibu Waziri wa Madini  Mhe.Stansalus Nyongo
Katibu Mkuu wizara ya Madini Prof Simon Msanjila akizungumza wakati wa hafla ya kupokea madini kutoka kwa mchimbaji mdogo wa Mirerani.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira (wa Pili Kushoto), Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana ashuhudia mchimbaji mdogo wa Tanzanite anavyosaidia wenzake kwa kuwauzia kwa bei nafuu vifaa vya uchimbaji madini Mererani

1. Mchimbaji mdogo wa Mererani, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Kinana vifaa vya uchimbaji amnavyouza kwa wachimbaji wengine pia

Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite  kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro,  Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema...

 

10 years ago

Mwananchi

Walinzi Kampuni ya Tanzanite One kortini kwa mauaji

Walinzi watatu wa Kampuni ya Tanzanite One wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za mauaji ya mchimbaji mdogo wa madini ya tanzanite wa Mirerani, Samwel Lucas (36).

 

5 years ago

Michuzi

MCHIMBAJI MDOGO WA MADINI YA TANZANITE KUTAMBULIWA RASMI KUWA BILIONEA BAADA YA KUPATA MAWE MAWILI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 7.8

Mawe makubwa mawili ya Tanzanite moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.Afisa Madini akionyesha moja ya jiwe la Tanzanite lilipatikana
 Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila amesema  kuwa leo Wizara inamtabua Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Bw. Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata  mawe  makubwa mawili yenye thamani ya shilingi  bilioni 7.8. Katibu Mkuu amesema kuwa mchimbaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanajeshi mahakamani kwa mauaji ya raia Mbeya

Wanajeshi wanne wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wa Kikosi cha 44KJ, Mbalizi mkoani hapa wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya Petro Sanga, mkazi wa Mbalizi, juzi walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya Mbeya Mjini na kusomewa maelezo ya mashahidi 13 pamoja na vielelezo sita dhidi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchimbaji afariki kwa kulipuliwa na baruti

 Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kulipuliwa na baruti akiwa mgodini.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi sita watuhumiwa mauaji wafikishwa mahakamani

kovaNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

ASKARI sita waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhusishwa na mauaji ya wafanyabiashara, jana wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia.

Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Mbele ya Hakimu Simba, Wakili wa Serikali Mkuu, Mutalemwa Kisheni, aliwataja washtakiwa kuwa ni Inspekta Bon Mbange mkazi wa Magomeni, F 919 Sajenti Filbert Nemes na Askari wa Kikosi cha Kuzuia...

 

10 years ago

Mwananchi

Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani

Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya  kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk.  Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani