Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani

Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya  kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk.  Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.

 

10 years ago

Habarileo

Washitakiwa kesi ya Mvungi waomba kusikilizwa

WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi wameiomba Mahakama iwape haki ya kuwasikiliza.

 

10 years ago

GPL

UNGO WA MCHAWI WAZUA KIZAAZAA!

Dustan Shekidele, Morogoro
NI mshangao! Katika hali isiyotarajiwa, ungo wenye vifaa vya kichawi umekutwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro na kuzua kizaazaa kikubwa. Ungo wenye vifaa vya kichawi ukiwa jirani na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mazimbu, Dayosisi ya Morogoro. Tukio hilo la aina yake lilijiri saa 12  asubuhi, Jumatano...

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva wa bodaboda wazua kizaazaa Geita

Zaidi ya madereva wa bodaboda 10 wanashikiliwa na polisi mjini hapa wakidaiwa kuvunja na kuharibu mali za mkazi mmoja wa Msalala Road kwa madai kuwa anahusika na mauaji ya wenzao 30.

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa Reli ya Kati wazua kizaazaa Dar

Zaidi ya abiria 1,500 waliotarajia kusafiri na treni ya Reli ya Kati jana, walikwama jijini Dar es Salaam baada ya kufika na kutangaziwa kupitia vipaza sauti kuwa hakuna treni na kutakiwa kupanga foleni kwa ajili ya kurudishiwa nauli.

 

10 years ago

Mwananchi

IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani

Kampuni za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), zimewasilisha maombi ya kutaka Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) akamatwe kwa kukiuka amri ya Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB) kwa kufuta Hati za Malipo ya Kodi za Mauzo ya Hisa (Capital Gain Certificate).

 

11 years ago

Habarileo

Upelelezi mauaji ya Dk Mvungi bado

UPELELEZI wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi inayowakabili watu 10, haujakamilika.

 

10 years ago

Mtanzania

Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa

mvungiNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa mauaji ya Dk Mvungi walalamika upelelezi kusuasua

Washtakiwa 11 katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi  wameulalamikia upande wa Jamuhuri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kuchelewesha upelelezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani