Watuhumiwa mauaji ya Dk Mvungi walalamika upelelezi kusuasua
Washtakiwa 11 katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi wameulalamikia upande wa Jamuhuri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kuchelewesha upelelezi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Dec
Upelelezi mauaji ya Dk Mvungi bado
UPELELEZI wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi inayowakabili watu 10, haujakamilika.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Upelelezi kesi ya Dk Mvungi kitendawili
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Watuhumiwa mauaji ya mwandishi wakamatwa
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Makao ya watuhumiwa wa mauaji Rwanda
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
Wapinga watuhumiwa wa mauaji kukamatwa
JESHI la polisi wilayani hapa Mkoa wa Mbeya, juzi lililazamika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Kata ya Lwanga, walioandamana wakishinikiza kuachiwa watuhumiwa wa mauaji ya Gabriel Mwandemwa (40),...
10 years ago
Habarileo17 Jan
Watuhumiwa 3 wa mauaji wamalizwa na wanakijiji
WAKAZI wa kijiji cha Burunde kata ya Karitu wilayani Nzega mkoani Tabora, wamewapiga, kuwaua na kuwachoma moto watu watatu kwa tuhuma za kushiriki kumuua Helena Abel na kumjeruhi mume wake, Said Msoma.