Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watuhumiwa mauaji ya mwandishi wakamatwa

Polisi nchini Azerbaijan imemtia mbaroni mwanamichezo na watu wengine watano kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

StarTV

Watuhumiwa TASAF wakamatwa.

Takribani kaya 50 za wilayani Kalambo mkoani Rukwa zimeamriwa kukamatwa mara moja zikituhumiwa  kunufaika na fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kinyume na malengo ya mradi wa kusaidia kaya masikini. Mradi wa kusaidia kaya masikini ukiwa na lengo la kuwapa fursa jamii iliyo katika lindi la umasikini umekuwa na changamoto nyingi lakini wilayani Kalambo …

 

10 years ago

Vijimambo

Watuhumiwa 510 mtandao wa panya road wakamatwa Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Suleiman Kova
Vijana 510 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘panya road’ wamekamatwa na jeshi la Polisi Kanda Maalum jijini Dar es Salaam kwa mahojiano.Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya kipolisi ya Kinondoni, Temeke na Ilala ambapo jeshi la polisi limefanya msako mkali kuweza kuwabaini lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi nchini.Kamishna wa Polisi Suleiman Kova ametoa wito kwa wazazi wa watoto...

 

11 years ago

Michuzi

watuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya
 Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...

 

5 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA WAKIWA NJIANI KWENDA KUFANYA UHALIFU MKOANI ARUSHA


Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mwenye Suti ya blue wakitoka kukagua gari Lilikuwa likitumiwa na majambazi hao aina ya Toyota Crown lenye namba za usajili T777DSJ wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi wanne Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akilipongeza Jeshi la Polisi kwa kutumia sheria ya tii bila shuruti na kufanikiwa kukamata majambazi wanne bila kuwapiga...

 

11 years ago

BBCSwahili

Makao ya watuhumiwa wa mauaji Rwanda

Licha ya kuachiwa uhuru Je wajua kuna watu wameogopa kurejea Rwanda

 

10 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 3 wa mauaji wamalizwa na wanakijiji

WAKAZI wa kijiji cha Burunde kata ya Karitu wilayani Nzega mkoani Tabora, wamewapiga, kuwaua na kuwachoma moto watu watatu kwa tuhuma za kushiriki kumuua Helena Abel na kumjeruhi mume wake, Said Msoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa mauaji kortini Z’bar

Watuhumiwa wawili wa mauaji ya raia wawili wa Ufaransa, Francios Robert Danis Rober na Brigitte Meny waliouawa na kutumbukizwa kisimani huko Matemwe Minazi Mirefu Mkoa wa Kaskazini Unguja wamefikishwa kortini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wapinga watuhumiwa wa mauaji kukamatwa

JESHI la polisi wilayani hapa Mkoa wa Mbeya, juzi lililazamika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Kata ya Lwanga, walioandamana wakishinikiza kuachiwa watuhumiwa wa mauaji ya Gabriel Mwandemwa (40),...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yalaani mauaji ya Mwandishi

Mfalme Abdullah wa Jordan ameyalaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Jjapan yaliyofanywa na wapiganaji wa kundi la Islamic State.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani