Watuhumiwa TASAF wakamatwa.
Takribani kaya 50 za wilayani Kalambo mkoani Rukwa zimeamriwa kukamatwa mara moja zikituhumiwa kunufaika na fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kinyume na malengo ya mradi wa kusaidia kaya masikini. Mradi wa kusaidia kaya masikini ukiwa na lengo la kuwapa fursa jamii iliyo katika lindi la umasikini umekuwa na changamoto nyingi lakini wilayani Kalambo …
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Watuhumiwa mauaji ya mwandishi wakamatwa
Polisi nchini Azerbaijan imemtia mbaroni mwanamichezo na watu wengine watano kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji.
10 years ago
VijimamboWatuhumiwa 510 mtandao wa panya road wakamatwa Dar
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Suleiman Kova
Vijana 510 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘panya road’ wamekamatwa na jeshi la Polisi Kanda Maalum jijini Dar es Salaam kwa mahojiano.Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya kipolisi ya Kinondoni, Temeke na Ilala ambapo jeshi la polisi limefanya msako mkali kuweza kuwabaini lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi nchini.Kamishna wa Polisi Suleiman Kova ametoa wito kwa wazazi wa watoto...

11 years ago
Michuziwatuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya
Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...

5 years ago
MichuziWATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA WAKIWA NJIANI KWENDA KUFANYA UHALIFU MKOANI ARUSHA
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mwenye Suti ya blue wakitoka kukagua gari Lilikuwa likitumiwa na majambazi hao aina ya Toyota Crown lenye namba za usajili T777DSJ wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi wanne Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akilipongeza Jeshi la Polisi kwa kutumia sheria ya tii bila shuruti na kufanikiwa kukamata majambazi wanne bila kuwapiga...
10 years ago
MichuziSABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA
Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania