Upelelezi mauaji ya Dk Mvungi bado
UPELELEZI wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi inayowakabili watu 10, haujakamilika.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Watuhumiwa mauaji ya Dk Mvungi walalamika upelelezi kusuasua
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Upelelezi kesi ya Dk Mvungi kitendawili
10 years ago
Habarileo20 Mar
Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Upelelezi kesi ya ugaidi bado
UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...
10 years ago
Habarileo22 Nov
Upelelezi wizi wa madini ya tanzanite bado kufungwa
KAMANDA wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki amesema upelelezi wa kesi ya wizi wa madini ya tanzanite kilo 15 ya Kampuni ya Tanzanite One iliyopo Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara haujafungwa hivyo yuko tayari kukutana na mtu yeyote raia mwema mwenye kujua mhusika mkuu wa wizi huo.
Kauli ya Kamanda Nsimeki imekuja baada ya wafanyakazi wa kampuni ya Tanzanite One kusema kuwa wako tayari kumtaja mhusika mkuu wa wizi huo ambaye hajakamatwa na alishirikiana na kigogo wa...
10 years ago
Habarileo13 Feb
Upelelezi kesi ya wafuasi wa CUF bado kukamilika
UPEELELEZI wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Rv0garHHy2M/Uwydlg7E4zI/AAAAAAAFPeY/elZXrwA5ycE/s72-c/DSC_7423.jpg)
UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rv0garHHy2M/Uwydlg7E4zI/AAAAAAAFPeY/elZXrwA5ycE/s1600/DSC_7423.jpg)
KESI ya mauaji ya kukusudia inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...
10 years ago
Habarileo30 Dec
Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa
WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.