Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani

Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya  kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk.  Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaotuhumiwa kumuua Dk Mvungi wabanwa

WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.

 

10 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU WA AJALI YA MUSOMA WALETA KIZAAZAA

Wananchi mjini Musoma wakiwa eneo la makaburi ya Musima Bus kushuhudia tukio hilo. LEneo la makaburi ya Musima Bus walipozikwa baadhi ya marehemu wa ajali ya mabasi ya Mwanza Coach na J4 Express…

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujenzi wa maabara waleta kizaazaa kwa uongozi mpya Puma

DSC03554

Diwani kata ya Puma wilaya ya Ikungi (CCM) Ramadhani Kulungu, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya kusomwa kwa taarifa ya mapato na matumizi ya michango ya ujenzi wa maabara.

Na Nathaniel Limu, Puma

MWENYEKITI  mpya wa serikali ya kijiji cha Puma tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida kupitia CCM,Sifa Joramu Hema, alipata wakati mgumu na hivyo kushindwa kuongoza mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya yeye na wajumbe wake,kutambulishwa kwa wananchi...

 

11 years ago

Habarileo

Upelelezi mauaji ya Dk Mvungi bado

UPELELEZI wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi inayowakabili watu 10, haujakamilika.

 

10 years ago

Mtanzania

Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa

mvungiNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine ambaye wao wanaona atawatendea haki.
Kutokana na ombi hilo, Hakimu Lema alijitoa na kuiahirisha kesi hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa mauaji ya Dk Mvungi walalamika upelelezi kusuasua

Washtakiwa 11 katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi  wameulalamikia upande wa Jamuhuri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kuchelewesha upelelezi.

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri wanaotuhumiwa watetewa

BAADHI ya wasomi wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, kuendelea kufanya kazi na mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kwa upungufu wa kiutendaji serikalini. Mmoja wa wasomi hao, Dk Kitila Mkumbo, alimpongeza Rais kuendelea na mawaziri hao kwani Serikali haiendeshwi kwa kauli za wanasiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani