Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaotuhumiwa kumuua Dk Mvungi wabanwa

WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanaotuhumiwa mauaji ya Mvungi waleta kizaazaa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi, jana waligoma kutoka katika chumba cha mahakama na kukaa kizimbani kwa muda hadi watakapoelezwa jalada la kesi yao lipo wapi.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaotuhumiwa kumuua sista wadaiwa kupora benki

WATUHUMIWA wanaodaiwa kumuua Sista Cresencia Kapuli na kumpora Sh milioni 20, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki ya Barclays.

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri wanaotuhumiwa watetewa

BAADHI ya wasomi wamepongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete, kuendelea kufanya kazi na mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kwa upungufu wa kiutendaji serikalini. Mmoja wa wasomi hao, Dk Kitila Mkumbo, alimpongeza Rais kuendelea na mawaziri hao kwani Serikali haiendeshwi kwa kauli za wanasiasa.

 

11 years ago

Habarileo

4 wanaotuhumiwa kuua kiongozi CCM waachiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imeachia huru washitakiwa wanne kati ya tisa, wanaoshitakiwa kumuua kiongozi wa CCM. Wameachiwa baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kuwaondolea mashitaka. Watu hao ni Frank Stanley, Philipo Edward, Tito Kishangara na Paulo Nashokigwa.

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji wa kigeni wabanwa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema mchezaji yeyote wa kigeni ambaye hatalipiwa Dola za Marekani 2000 (takriban Sh milioni 4.2) hatacheza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi.

 

9 years ago

Habarileo

Mafunzo wabanwa na KMKM

TIMU za Maafande wa Chuo cha Mafunzo na wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM ), zimetoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja uliochezwa Uwanja wa Amani mjini hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wabanwa bungeni

Wabunge jana waliwaweka kitimoto mawaziri wanne wakiwataka watoe maelezo ya kukwama kwa baadhi ya mambo katika wizara zao na kusababisha matatizo kwa wananchi na Serikali kukosa fedha.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata watu 38 wanaotuhumiwa kwa ujambazi, ugaidi

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani