Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mafunzo wabanwa na KMKM

TIMU za Maafande wa Chuo cha Mafunzo na wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM ), zimetoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja uliochezwa Uwanja wa Amani mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Zanzibar: Mafunzo na KMKM zatoka Sare ya Bao 1--1

Mchezaji wa Timu ya Mafunzo na Kmkm wakishindana nguvu wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Beki wa timu ya KMKM akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Kocha Mkuu wa Timu ya KMKM Ali Bushiri (Bush) akiwakaripia wachezaji wake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wabanwa bungeni

Wabunge jana waliwaweka kitimoto mawaziri wanne wakiwataka watoe maelezo ya kukwama kwa baadhi ya mambo katika wizara zao na kusababisha matatizo kwa wananchi na Serikali kukosa fedha.

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji wa kigeni wabanwa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema mchezaji yeyote wa kigeni ambaye hatalipiwa Dola za Marekani 2000 (takriban Sh milioni 4.2) hatacheza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wabanwa walipe kodi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amewataka wafanyabiashara  wadaiwa sugu kulipa kodi ndani ya siku saba  ili kutekeleza agizo la  Rais John Magufuli.

 

10 years ago

Habarileo

Wauzaji dawa za asili wabanwa

Nsachris Mwamaja SERIKALI imesisitiza kuwa dawa zote za tiba asilia ama za kisasa, zinatakiwa kufuata taratibu zote za kuziingiza hapa nchini, tofauti na hapo ni uvunjaji wa sheria.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaotuhumiwa kumuua Dk Mvungi wabanwa

WASHITAKIWA wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.

 

10 years ago

Mtanzania

Waliokutwa na meno ya tembo wabanwa

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WATUHUMIWA sita waliokamatwa na kontena la meno ya tembo yenye thamani zaidi ya Sh bilioni saba visiwani Zanzibar, wamesomewa mashtaka matatu mapya ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Washtakiwa walisomewa mashtaka hayo jana na Wakili wa Serikali, Faraja Nchimbi, mbele ya Hakimu Mkazi, Shahidi Huruma.
Nchimbi aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Mohammed Mussa (45), Mohammed Hajji Udole (42), Juma Makoma (43), Mohamed Hija au Mashaka, Omary Ally...

 

10 years ago

Habarileo

Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa

WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.

 

10 years ago

Habarileo

Uongozi Shirika la Reli wabanwa

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeBODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) wamebanwa na kutakiwa kuhakikisha kuwa kampuni hiyo inajiendesha na kufutiwa ruzuku ya serikali ifikapo mwaka wa fedha wa 2016/2017, vinginevyo waachie nafasi zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani