Wauzaji dawa za asili wabanwa
SERIKALI imesisitiza kuwa dawa zote za tiba asilia ama za kisasa, zinatakiwa kufuata taratibu zote za kuziingiza hapa nchini, tofauti na hapo ni uvunjaji wa sheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Wasafirishaji na wauzaji dawa za kulevya siku zako zinahesabika — JK
Rais Jakaya Kikwete akisalimia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison Mwakyembe wakati akiingia katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport (JNIA) kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria jijini Dar es Salaam.
.asema kama Rais wa nchi inamuuma sana kwa taifa kuwa uchochoro wa dawa hizo
.Rais asema watumishi wanaojihusisha na dawa za kulevya kuondolewa mara moja
.TAA watengeneza jengo jipya la abiria lenye mifumo ya kimataifa
Na Damas Makangale,...
11 years ago
Michuzi
DUKA LA DAWA ZA ASILI LILALOTEMBEA

11 years ago
Mwananchi31 Jan
Watanzania msidharau dawa za asili
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
MSD watakiwa kununua dawa asili
CHAMA cha Watabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME) kimeitaka Bohari ya Dawa (MSD), kujenga mazoea ya kununua dawa asili, ili ziweze kutumika sambamba na dawa nyingine katika vituo vya afya...
11 years ago
Mwananchi16 May
Madhara ya kuchanganya dawa za hospitali na za asili
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Tanzania, China kuboresha dawa za asili
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imeanzisha ushirikiano wa dawa za asili na Chuo cha Henan cha nchini China kinachojishughulisha na dawa hizo. Hatua hiyo imefikiwa baada...
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Lishe asili ni dawa ya wagonjwa wa moyo
10 years ago
Habarileo02 Apr
China, Tanzania kusaini utafiti dawa asili
TANZANIA na China leo wanatia saini Mkataba wa Makubaliano wa kuendeleza na kufanya utafiti wa matumizi ya dawa za asili kwa ajili ya tiba ya magonjwa ya mbalimbali ya binadamu nchini.
5 years ago
Michuzi
Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...